Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Jamani papara si nzuri kabisa, simba mwenda pole ndo mla nyama. Mimi ilishanikuta mdada alikosea namba nikaipokea vizuri tu nikamsalimia halafu sikujua kama tutafika tulipofika. Alikuwa yupo down sana! Nikajisemea tu dada yangu mbona unaonekana huna raha pole kwa chochote kinachokusibu nikategemea tusi halafu akate simu, akasema haaaa kaka afadhali hata wewe umenijali yaani mtihani hapa college unanitoa stimu balaa. Nikamwambia unaonekana umekamia sana unahitaji kupumzika kidogo nikupeleke kigamboni nini akacheeeka! akanielekeza yupo wapi nikamwambia ntakupitia hapo nikitoka job. Nikakata simu wala sikuiweka kichwani. Zikapita 3 days akanitext kaka nifariji tena mtihani mgumu khaaa nikamrukia hewani nikambembeleza weee. Basi ikawa jioni tunapigiana simu. Wala sikutaka kumtafuta mwezi ukakatika tukaongea kwenye simu tuu. Baada ya hapo anaomba anione. Tulipoonana napo alikuwa amepooza lkn dah mtoto wa haja yaani nooma. Nikasema sitongozi wala nini maana alikuwa anaonekana mtoto mzuri sana na kama mnavyojua nyumba nzuri lazima iwe na mpangaji. Siku ya tatu sms za mapenzi zinaanza mpenzi hujambo mie duuuh Yule shori kaingia mtegoni the rest is history 3kids 13yrs ya ndoa hahaha. Ukiwa patient utafaidi sana. Mwanamke anayekujali always anakuwa careful akikupa Leo kesho utamtangaza dame very cheap!
Aisee stori yako imenivutia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaza hivyo hivyo.
Ukilegeza tuu atasema wewe ni malaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enyi wadada mna haki ya kusema haya mliyoandika hapa kwenye huu uzi, bcoz probably mnatongozwa na wanaume wengi, na wanaume wengi tunajionesha kuwa tuna njaa na papuchi, so vichwa vyenu/ego/maringo/ na nyodo zenu vimekuwa vikubwa, kwa kuona papuchi zenu ziko on demand Mzigua90 cutelove cute b
Hahah hahahha hahahha ha pale demand inapozidi supply
 
Eeeh. Kaza. Kula hela. Hata ukitoa asiporudi unakua huumii sana

Sent using Jamii Forums mobile app


Hahahaaa mtaendelea kuwazungusha miezi 6 na kuwachuna hao wanaume wajinga:

My principles:
1) Nikimtongoza demu hlf akaniomba hela kabla ya kunipa papuchi - NAMKIMBIA
2) Nikimtongoza demu, baada ya wiki 3 nikiona naweka efforts, hlf papuchi sipati - NAMKIMBIA

Nikimtongoza demu, nahakikisha nimemla papuchi ndani ya wiki 2, tena akikaa vibaya namla kote kote (papuchi na tigo) Mzigua90
 
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Chizi weee. Halafu ndo natoa? audacious eti wewe ulinizungusha wapi na wapi?? Kutoa ni mapenzi. Halafu kuna wengine urafiki unafaa kuliko mapenzi.
Umetaja kitimoto umenifanya nimkumbuke baby daddy wangu Nyani Ngabu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hey baby mama.....uko pande gani leo???

Buckets?? Au Bata Point?
 
Nasimama upande wa jamaa huna huruma wewe.
 
cutelove ningekuwa karibu yako ningekukata vibao!

Mwenzako achome pesa na moyo alafu ukamlaze huko [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom