Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee stori yako imenivutia sanaJamani papara si nzuri kabisa, simba mwenda pole ndo mla nyama. Mimi ilishanikuta mdada alikosea namba nikaipokea vizuri tu nikamsalimia halafu sikujua kama tutafika tulipofika. Alikuwa yupo down sana! Nikajisemea tu dada yangu mbona unaonekana huna raha pole kwa chochote kinachokusibu nikategemea tusi halafu akate simu, akasema haaaa kaka afadhali hata wewe umenijali yaani mtihani hapa college unanitoa stimu balaa. Nikamwambia unaonekana umekamia sana unahitaji kupumzika kidogo nikupeleke kigamboni nini akacheeeka! akanielekeza yupo wapi nikamwambia ntakupitia hapo nikitoka job. Nikakata simu wala sikuiweka kichwani. Zikapita 3 days akanitext kaka nifariji tena mtihani mgumu khaaa nikamrukia hewani nikambembeleza weee. Basi ikawa jioni tunapigiana simu. Wala sikutaka kumtafuta mwezi ukakatika tukaongea kwenye simu tuu. Baada ya hapo anaomba anione. Tulipoonana napo alikuwa amepooza lkn dah mtoto wa haja yaani nooma. Nikasema sitongozi wala nini maana alikuwa anaonekana mtoto mzuri sana na kama mnavyojua nyumba nzuri lazima iwe na mpangaji. Siku ya tatu sms za mapenzi zinaanza mpenzi hujambo mie duuuh Yule shori kaingia mtegoni the rest is history 3kids 13yrs ya ndoa hahaha. Ukiwa patient utafaidi sana. Mwanamke anayekujali always anakuwa careful akikupa Leo kesho utamtangaza dame very cheap!
......naomba nije kukusalimia!!Una bahati hadi unakutana nao...mm mbaado aseeee
Kesho kawa kawaida kwa Sele bonge. Ijumaa nisipokula biriani naona siku haijatimia
Kaza hivyo hivyo.Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha hahah kazi wanayo kwa kweli.Hawatangazi maana si uongo. Kwenye majukwaa ndo unaona huyu Malaya. Sijui mdangaji sijui nyoko nyoko. Najisemea we kaka wewe una hela gani ya kudangwa yarab.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siwezi mchuna rafiki yangu. Kwanza Ana hela hata nikila siwezi zimalizaRafiki acha kubadili gia angani,ulimchuna sana!!Mungu anakuona!!
Hahah hahahha hahahha ha pale demand inapozidi supply
Nikujie haraka sanaRafiki nimekuona mapigo ya moyo wangu yameenda mbio ghafla!![emoji1][emoji1][emoji1] ......naomba nije kukusalimia!!
Nikujie haraka sana
Kumbe hazijafika 700 basi nikimtoa mtu huko na nikamnyima papuchi si vibaya[emoji23][emoji23]Kama kilometer 600 plus hivii.
Hahaha hahajaa
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Chizi weee. Halafu ndo natoa? audacious eti wewe ulinizungusha wapi na wapi?? Kutoa ni mapenzi. Halafu kuna wengine urafiki unafaa kuliko mapenzi.
Umetaja kitimoto umenifanya nimkumbuke baby daddy wangu Nyani Ngabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa unautizama tuuu kama si kula kwa eyezzRafiki huo mzigo wa chura ulio nayo nikija kwako kukusalimia nitaweza kubanduka kweli?![emoji1][emoji1][emoji1]
Siamini ninachokionaNikimtongoza demu, nahakikisha nimemla papuchi ndani ya wiki 2, tena akikaa vibaya namla kote kote (papuchi na tigo) Mzigua90
Niko home. Nimetafuta kampani ya sky light wamenigomea my friends [emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]. Namalizia kunywa nilaleHey baby mama.....uko pande gani leo???
Buckets?? Au Bata Point?