WANAUME MUNGU ANAWAONA

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,963
Reaction score
3,685
*FACT*

Wanaume ndivyo tulivyo, kutenda dhambi ni sekunde 1. Hebu soma hii:

```Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike.
Mme akawapigia simu marafiki 10 wa mke wake na wote wakasema hakulala kwao.

Siku iliyofuata mme nae akalala nje, aliporudi nyumbani mke akamuuliza ulilala wapi. Mme akasema nililala kwa rafiki yangu wa kiume.
Mke akawapigia simu marafiki 10 wa mme wake. 8 walikubali kuwa kalala kwao na wawili ndo wakaua kabisa wakasema eti hadi sasa bado yupo hapa tunakunywa nae chai.```

[emoji123]
Wanaume kokote pigeni mbinja

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mbona uongo ulianzia mbali sema hujagusia tuu, asilimia zaidi ya 90 ya wanawake walioolewa walidanganywa wakati wanatongozwa.

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Ndiga ya hiyo east africa redio jana..!

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Na jambo LA kushangaza zaidi pamoja na mwanaume kupiga simu kwa rafiki wa mke wake 10 bado hajajua alilala kwa nani?........huyo mwanamke katisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…