Wanaume Mungu anawaona

Wanaume Mungu anawaona

Katika vitu nyingi ambazo wazazi tunakosea, ni pamoja na hii tabia ya kuwa adhibu watoto kwa makosa ya wazazi wao.
Wazazi tunakosea sana kufanya chuki kwa watoto ambapo wamezaliwa kutokana na starehe za maungo yetu ya mwili.
 
Unataka kurahisishiwa tu hangaisha ubongo wako
Yamekuwa hayo tena.

Nipe link ya uzi basi

Katika vitu nyingi ambazo wazazi tunakosea, ni pamoja na hii tabia ya kuwa adhibu watoto kwa makosa ya wazazi wao.
Wazazi tunakosea sana kufanya chuki kwa watoto ambapo wamezaliwa kutokana na starehe za maungo yetu ya mwili.
Yaani fahari wawili wapiganapo nyasi ndio huumia
 
Back
Top Bottom