Wanaume muoeni huyu dada

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Ni mtangazaji wa shirika moja la habari duniani.

Wengi mnamfahamu sitaki kumtaja labda amtaje. That woman ni mzuri, ana adabu na heshima ni mchamungu ila hana hata boyfriend.

Msiniulize nimejuaje, I wish I could be a man! Nyie wanaume mnataka mwanamke wa aina gani jamani? ningekuwa na kaka ningemuozesha .

Nimewapa chimbo naombeni mrejesho..
 
Amekuomba umsaidie kumtangazia au ndiyo kuona wengine no bora kuliko wewe?
 
Miss Natafuta umekuwa wakala siku hizi?
 
Zuhura Yunus hajaolewa?
 
Yule aliyekua clouds halafu akaenda BBC,anapenda serengeti boyz sana
 
Ana sifa nzuri sana,umewahi kujiuliza kwa nini hana boyfriend?
Unaweza ukajikuta unaingia kwenye tanuru la moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…