Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #101
kazi yako nikukaa nakuangalia watu walioolewa na ambao hawajaolewa
punguza mawazo utakuja kuolewa tuu usijali
haina haja yakufanya utafiti na kujilinganisha Mungu atakusaidia utapata tu
ahahaaa nani nyani hapa mkuu?Nyani wa mbele amuoni wa nyuma.
Kama siko sahihi mnirekebishe lakini ifanane na hii ya Nyani kutokuona kitu.
Mie nataka nikuoe wewemi sijamtaja mtu bna ila muoeni huyu dada jamani
nitumie cv mkuuNitumie mawasiliano yake bint yunus mie huwa nnamzimia sana
Nipe contacts zake.ndio njoo upate mke
Umeona kama nilivyofikili,dada ni mzuri sana.Wakaka wa kiislam waunge tela kwa application.Anaitwa Xuhra Yunus
hajui hata atajuaje? ila ndo hivo mjue yupo availableHuu mtihani mgumu.mwenyew anajua lakin kama anatafutiwa mume?
ndo pwdKumtaja salim kikeke umeharibu huu uzi
Nimeishia darasa la nne naendesha bodaboda.nitumie cv yako mkuu
Anampenda KikekeAnaitwa Xuhra Yunus
hapendi zinaa anapenda mcha mungu
mambo mengi,mazingira anayoishi ,tamaduni zao,kutojichanganya nadhani unaelewa ,pia wanaume kumuogopa
mmmmh roho inaniumaLabda hana mpango wa kuolewa! Watu wana siri zao... Usione hajaolewa ukadhani hamna alietaka kumuoa
Niunganishe naye, teheteheee.kwani kumjua mtu hana mpenzi inahitaji phd?
Toa namba zake utaona majibu yake.Ni mtangazaji wa shirika moja la habari duniani.
Wengi mnamfahamu sitaki kumtaja labda amtaje. That woman ni mzuri, ana adabu na heshima ni mchamungu ila hana hata boyfriend.
Msiniulize nimejuaje, I wish I could be a man! Nyie wanaume mnataka mwanamke wa aina gani jamani? ningekuwa na kaka ningemuozesha .
Nimewapa chimbo naombeni mrejesho..