Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeula mkuuulishaniona nikitafuta nikakosa? au unaongea tu unajua status yangu sasa hivi?
Sasa tutamjuaje wakati humtaji mkuu? Mwishoe tutoa usiemdhamilia..taja tuu..unaogopa nini humu jf?Ni mtangazaji wa shirika moja la habari duniani.
Wengi mnamfahamu sitaki kumtaja labda Salim Kikeke amtaje. That woman ni mzuri, ana adabu na heshima ni mchamungu ila hana hata boyfriend.
Msiniulize nimejuaje, I wish I could be a man! Nyie wanaume mnataka mwanamke wa aina gani jamani? ningekuwa na kaka ningemuozesha .
Nimewapa chimbo naombeni mrejesho..
Mwishowe si hako kajizuhura kake kataziba!hana tatizo lolote hapendi tu zinaa ni mcha mungu sana
ni bikra mpaka sasa .Mwishowe si hako kajizuhura kake kataziba!
Nipe location yako tupate namna ya kupanga kumsaidia huyo bi dada.ndio njoo upate mke
Ana sifa nzuri sana,umewahi kujiuliza kwa nini hana boyfriend?
Unaweza ukajikuta unaingia kwenye tanuru la moto
wahuni tu ndo aliwakataa mume kabisa bado hajajaHuyo alikua anawatosa sana waliokua wanamtokea akijiona mzuri na mwamba,mwisho wa siku utasikia anafuga serengeti boi
Labda kuna mtu alimtupia mkosi wa kuchukia wanaume! yaani hata wazungu huko London hawataki!!!!!??? Hiyo bikira siku hiyo ya harusi itabidi itolewe kwa shoka maana uume utashindwani bikra mpaka sasa .
Virgin hunter mpooo?ni bikra mpaka sasa .
Labda kuna mtu alimtupia mkosi wa kuchukia wanaume! yaani hata wazungu huko London hawataki!!!!!??? Hiyo bikira siku hiyo ya harusi itabidi itolewe kwa shoka maana uume utashindwani bikra mpaka sasa .
ahaaaa wazungu sio waislam ndo maana hawataki hataki zinaa anataka ndoa halaliLabda kuna mtu alimtupia mkosi wa kuchukia wanaume! yaani hata wazungu huko London hawataki!!!!!??? Hiyo bikira siku hiyo ya harusi itabidi itolewe kwa shoka maana uume utashindwa
Hata waislamu wapo, labda basi tu hapendi kugegedwa! I wish ningekuwa yeye aisee! maana mgegedo nao sometimes unachosha ukizidishwa!!!!ahaaaa wazungu sio waislam ndo maana hawataki hataki zinaa anataka ndoa halali
Atakuja Yesu akirudiwahuni tu ndo aliwakataa mume kabisa bado hajaja
hana tatizo lolote hapendi tu zinaa ni mcha mungu sana
Mmojawapo ni mieh
hta nikifika miaka mia wapo watakaonipenda tu
wanaume wa siku hizi mnapenda kusex bila ndoa . hakuna anetaka kuwa kwenye mahusiano bila sex shida hapo ndo inapotokea ukimnyima papuchi anakimbiaKuwa na boyfriend sio kutenda zinaa.
Na tena kama ni mcha Mungu kiivyo imekuaje hajapata wa kufanana nae? Maana Mungu hamtupi mja wake. Kuna kitu hakiko sawa.
nimewaitaNyamaume zimejazana kwenye huu uzi!