Wanaume na " CHOVYA CHOVYA " Kulikoni?

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
Wakuu,
Nimefanya kautafiti kangu kadogo kwa kuanzia na marafiki zangu na watu walio karibu na mimi na nimegundua wanaume wengi kabla hawaja Engage wanakuwa wamechovya sehemu nyingi sana tofauti na kina dada. Kabla sijaupeleka mtaani haka kautafiti naomba kupata maoni na mtazamo wenu wana Jamvi, Je wewe unadhani ni Jinsia gani inaongoza kwa kuwa katika relationship sana kabla ya ndoa?


  • NANGISYE
  • ENG. SMASHER
  • MPASUAJI
  • PLATO
  • DUMELAMBEGU
  • MKWARUZO
  • IVUGA
  • SAMANYA
  • SWEETDADA
  • LIZZY
  • ELIA
  • AFRODENZI
  • NILHAM
  • BI MKUBWA
  • CHWECHWE
  • TEAMO
  • KAKAKIIZA
  • SUSY
  • MAX MELLO
  • FIDEL80
  • SILENCER
  • INVISIBLE
  • MMZALENDO
  • MISS JUDITH
  • PDIDY
  • MWIBA
  • SPEAKER
  • FUTOTA
  • KOKUDO
E.T.C


  1. Mmekuwa na mahusiano na wanaume/wanawake wangapi?
  2. Je tatizo nini linalopelekea wanaume/wanawake kuwa na mahusiano mengi kabla ya ndoa?
:welcome: :welcome: :welcome: :welcome: :welcome: :welcome: :welcome: :welcome:
 
Nikiwa kama mchangiaji wa kwanza ambae jina langu ni E.T.C ngoja nisichangie kwanza.
 
Kuna mtu (mwanaume) aliwahi kuniambia aaahhh mie sikumbukia tena ukiongeza na wale wa hit and run hawahesabiki weka dar express kama mia hivi wanajaa na kubaki
 
heheheheh swali uliouliza leo zuri,,,, wanaume ndio mahabith wakwanza duniani japo wanawake wasingiziwa,,, we utakuta mtu keshachovya sijui ndio niini vile yaani kukutana na mwanamke mara elfu then ataka yeye akioa akukute bikra jambo ambaloo ni uonevu wallah,,, mi naona wanaume ndio wanahangaika sana kabla ya kuingia kwenye ndoa,japo sina uhakika,,,ila huo ndio mtazamo wangu,,, mnisamehe wanaume wa humu jamani,,, kwani wanaume wa jf wao hawahangaiki heheheh msije mkanuna bure,,,
 
ha hahaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mieeee!!! Gbollin naona leo umeamua!!

mie sijabadili badili !! niyule yule aliyenitoa bikira akaniacha!!! :lol::lol::lol::lol::lol:

kuhusu sababu, wanaume ndio chanzo kikubwa cha kuvunja relations!!!

ngoja tuone wengine!!
 
Kuna mtu (mwanaume) aliwahi kuniambia aaahhh mie sikumbukia tena ukiongeza na wale wa hit and run hawahesabiki weka dar express kama mia hivi wanajaa na kubaki

Mmmmmh Mbona unazungumzia boyz tu, hebu nambie na wewe vipi dozen wanafika?????
 
Nikiwa kama mchangiaji wa kwanza ambae jina langu ni E.T.C ngoja nisichangie kwanza.

Husninyo wacha hizo bana, Yaelekea una kiwivu thaaaaaaaaaaana wewe ndo maana hutaki kuchangia, ok

  • HUSNINYO
Wewe umechovya na wangapi?
 
Husninyo wacha hizo bana, Yaelekea una kiwivu thaaaaaaaaaaana wewe ndo maana hutaki kuchangia, ok

  • HUSNINYO
Wewe umechovya na wangapi?

wivu sina ila roho inauma...
Nishachangia bwana. Nisome hapo chini.
 
Hehehehe!Ya leo kali!Mi nimesahau namba!Lolz
 

Hahahaa, Ndio wanaume wanaongoza kwa utafiti nilioufanya mimi ila ningependa kujua wewe umechovya na wangapi/ umechovya wangapi. LOL
 

Hahahahaha kwahiyo wataka kuniambia mpaka leo upo singo???? :A S kiss:
 
kwa heshima ya da dena, nimekua nae mmoja tu na huyo mmoja wangu alikuwa nae mmoja tu..

:welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome: Mpendwaaaaaaaaa!!!!
 
nashukuru sipo kwenye official list ngoja nipite zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…