Digaller
JF-Expert Member
- Oct 20, 2009
- 798
- 541
Wakuu,
Nimefanya kautafiti kangu kadogo kwa kuanzia na marafiki zangu na watu walio karibu na mimi na nimegundua wanaume wengi kabla hawaja Engage wanakuwa wamechovya sehemu nyingi sana tofauti na kina dada. Kabla sijaupeleka mtaani haka kautafiti naomba kupata maoni na mtazamo wenu wana Jamvi, Je wewe unadhani ni Jinsia gani inaongoza kwa kuwa katika relationship sana kabla ya ndoa?

- NANGISYE
- ENG. SMASHER
- MPASUAJI
- PLATO
- DUMELAMBEGU
- MKWARUZO
- IVUGA
- SAMANYA
- SWEETDADA
- LIZZY
- ELIA
- AFRODENZI
- NILHAM
- BI MKUBWA
- CHWECHWE
- TEAMO
- KAKAKIIZA
- SUSY
- MAX MELLO
- FIDEL80
- SILENCER
- INVISIBLE
- MMZALENDO
- MISS JUDITH
- PDIDY
- MWIBA
- SPEAKER
- FUTOTA
- KOKUDO
- Mmekuwa na mahusiano na wanaume/wanawake wangapi?
- Je tatizo nini linalopelekea wanaume/wanawake kuwa na mahusiano mengi kabla ya ndoa?