Wanaume na enzi zetu

Wanaume na enzi zetu

ZOPPA

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
2,729
Reaction score
2,891
Enzi za [HASHTAG]#Mwalimu[/HASHTAG] wanaume tulipewa majina stahiki kama vile
MUME WANGU au BABA WATOTO

Enzi za [HASHTAG]#Mwinyi[/HASHTAG] wanaume tuliitwa MABWANA utasikia mwanamke ana muhadisia mwenzie kapata [HASHTAG]#Bwana[/HASHTAG].

Enzi za [HASHTAG]#Mkapa[/HASHTAG] wanaume tukaitwa MABUZI
Mwanamke ana msimulia mwenzake nime pata [HASHTAG]#Buzi[/HASHTAG].

Enzi za [HASHTAG]#Kikwete[/HASHTAG] tukapewa majina mazuri na matamu hata ukisikia unafurahi moyoni,
[HASHTAG]#Baby[/HASHTAG], Darling,sweety,Honey na mengine mengi.

Enzi hii ya [HASHTAG]#Magufuli[/HASHTAG] sasa!
Pesa hazionekani wanaume tume vurugwa maisha magumu
Wanatuita [HASHTAG]#WAHENGA[/HASHTAG]

Wan
af9b1d9b9dde96bf9c27402c3f559138.jpg


awake wa Bongo Mungu anawaonaaaa.

Wanaume kwa Vile Pesa Ngumu,tuna kauli yetu tunakwambia
Mwanaume [HASHTAG]#MASHINE[/HASHTAG]
Dadeki mta elewaa tuuuh!

*Watu Bwana* [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Teh teh teh hata mimi naitwa mhenga jamani wakati nina 33 tyu.
 
duh kudadek na magu akiondoka sijui watatuitaj

Sent from my Android phone
 
Back
Top Bottom