Mkuu hizi fonts ni kukomoana au hutaki watu wasome
Yes Madam! Ask Bubu A Kusema
Kinda truth.bebii unaonekana mkubwa ila una mambo ya kitoto kwa hizi mada unaonyesha hujakomaa inawezekana hujawa exposed to men s' world kwa sana other wise ungezoea tu hizo i love you na wala usingeona ni tatizo
Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you
ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika basi. hii inaonyesha hamjui kutongoza kwani neno ni hilo tu la kumpata mtu?
Boss people in here can pretend acha tu.
Mhhhh! I don't have any expertise in that department 🙂
Watu wanaoa/wanaolewa na kuzaa na watu wasiowapenda we unasema mtu hawezi kudanganywa kwa muda mrefu?!Its all about dertemination...
Haya....Mh..huyo aliyedetermine hivyo vyote anakupenda...unless u convince me otherwise!
Natumai mimi sio demu...Ohhh ukimwambia demu I Love unaimanisha yale mambo ya kikubwa...
Boss people in here can pretend acha tu.
Hivi siwezi nikawa (I Love you) Jana au Chuzi au mwaka Jana alafu nikawa (I dont love you no more leo)?
Unajuaje kama mtu anadanganya na kwamba at that instant ni kweli anakupenda?
No one knows about tomorrow Lets Cherish the Moment; I Really Love You Now...as of Tomorrow no one knows
Natumai mimi sio demu...
Ningependa uongeze na definition ya mtaani...Online dictionarydame (dm)n.1. Used formerly as a courtesy title for a woman in authority or a mistress of a household.2. a. A married woman; a matron.b. An elderly woman.3. Slang A woman.4. Chiefly British a. A woman holding a nonhereditary title conferred by a sovereign in recognition of personal merit or service to the country.b. The wife or widow of a knight.c. Used as the title for such a woman.Kama huqualify hapo niambie.....