Wanaume na I LOVE YOU

Wanaume na I LOVE YOU

Jamani I love you . . . . kwanini unamsumbua bebii?
 
bebii unaonekana mkubwa ila una mambo ya kitoto kwa hizi mada unaonyesha hujakomaa inawezekana hujawa exposed to men s' world kwa sana other wise ungezoea tu hizo i love you na wala usingeona ni tatizo
 
bebii unaonekana mkubwa ila una mambo ya kitoto kwa hizi mada unaonyesha hujakomaa inawezekana hujawa exposed to men s' world kwa sana other wise ungezoea tu hizo i love you na wala usingeona ni tatizo
Kinda truth.
 
Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you
ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika basi. hii inaonyesha hamjui kutongoza kwani neno ni hilo tu la kumpata mtu?

Kuna mtu keshaharibu afu sasa ameibuka mwingine kwa gia ile ile. Hi hasira si bure

By the way, kwani hampendi kulaviwa?
 
Watu wanaoa/wanaolewa na kuzaa na watu wasiowapenda we unasema mtu hawezi kudanganywa kwa muda mrefu?!Its all about dertemination...

Mh..huyo aliyedetermine hivyo vyote anakupenda...unless u convince me otherwise!
 
Nimeuliza swali hapo juu naona halikujibiwa labda ni swali gumu, au la kijinga au labda text zangu ni invisible ngoja nijaribu tena

Hivi siwezi nikawa (I Love you) Jana au Chuzi au mwaka Jana alafu nikawa (I dont love you no more leo)?
Unajuaje kama mtu anadanganya na kwamba at that instant ni kweli anakupenda?
No one knows about tomorrow Lets Cherish the Moment; I Really Love You Now...as of Tomorrow no one knows
 
Natumai mimi sio demu...

Online dictionary

dame (d
amacr.gif
m)n.1. Used formerly as a courtesy title for a woman in authority or a mistress of a household.
2. a. A married woman; a matron.
b. An elderly woman.

3. Slang A woman.
4. Chiefly British a. A woman holding a nonhereditary title conferred by a sovereign in recognition of personal merit or service to the country.
b. The wife or widow of a knight.
c. Used as the title for such a woman.

Kama huqualify hapo niambie.....
 
Online dictionarydame (d
amacr.gif
m)n.1. Used formerly as a courtesy title for a woman in authority or a mistress of a household.2. a. A married woman; a matron.b. An elderly woman.3. Slang A woman.4. Chiefly British a. A woman holding a nonhereditary title conferred by a sovereign in recognition of personal merit or service to the country.b. The wife or widow of a knight.c. Used as the title for such a woman.Kama huqualify hapo niambie.....
Ningependa uongeze na definition ya mtaani...
 
Back
Top Bottom