Wanaume na I LOVE YOU

we likwanda ushindwe
 
Nimeuliza swali hapo juu naona halikujibiwa labda ni swali gumu, au la kijinga au labda text zangu ni invisible ngoja nijaribu tena

Hiyo i guess ilikuwa tamaa..Love dont change with time..Ndo maana mimi kwangu kusema i love you hata kama ni ya uongo siiwezi!
 
mbona watu humu jamvini hawaaminiani jinsia lizzy wewe si mwanamke au?
 
Hiyo i guess ilikuwa tamaa..Love dont change with time..Ndo maana mimi kwangu kusema i love you hata kama ni ya uongo siiwezi!

Hapana Mkuu hio sio Tamaa kwahiyo unataka kuniambia hujawahi kupenda alafu hio Love ikafa (kwa lolote lile iwe ni kwa sababu ulichozani kwamba ndio sio, au uliempenda amekuboa au amefanya mambo yaliyopelekea wewe kumuona hafai tena)..., au unataka kuniambia Love ni kama mlango ambao ukiufunga na kutupa ufunguo hauwezi kufunguliwa tena..?

Yaani unataka kuniambia mtu akimpenda A tangia utotoni basi hawezi kumpenda mwingine mpaka siku anakufa..?
Je siwezi nikapenda mtu akaniturn off na badae akatokea mwingine ambae akanifanya affection kwake ikawa kubwa kuliko mwanzo?
Hujaona watu wanasema "I will never Love Again" alafu anatokea mtu "wanakuwa swept away"
 
What about this:"babyish i need you"could it solve your problem? but real me huwa nikisema:dance:ILOVE YOU nasisimka SANA i real feel it in my special heart.

SO babii ILOVE YOU
 

we likwanda ushindwe


Hiyo ya kwanza hapo hujacomment bana...
 
 
Last edited by a moderator:
Kwani kuna ubaya...?!
Duh,hivi ulisema we ni kabila gani vile?Yaani na matusi yote yale ya juzi kutoka kwa NN bado umempunzisha!!Ntakuja kuoa kabila lenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…