Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningependa uongeze na definition ya mtaani...
Nijibu nini tena Bebii?!lizzy jibu eeeeeeeeeeh
Shindwa na ulegee...Shida mimi si wa mtaani! Dame is a slang for a woman.....if you are a man I so sorry
Nimeuliza swali hapo juu naona halikujibiwa labda ni swali gumu, au la kijinga au labda text zangu ni invisible ngoja nijaribu tena
Umempumzisha wewe?Kapumzika!!Vipi kwani...unamuhitaji?!
Shindwa na ulegee...
Bebii kama hawaamini watajiju.mbona watu humu jamvini hawaaminiani jinsia lizzy wewe si mwanamke au?
Yoyote ile inayowapendeza...Jinsia yako tafadhali maana unachanganya sana watu pamoja na mchungaji!
Kwani kuna ubaya...?!Umempumzisha wewe?
Hiyo i guess ilikuwa tamaa..Love dont change with time..Ndo maana mimi kwangu kusema i love you hata kama ni ya uongo siiwezi!
Yoyote ile inayowapendeza...
Bebii kama hawaamini watajiju.
Niliposoma hii post, nimetuma msg kwa dada mmoja (I hope hayupo JF), na ambaye sina mahusiano ya kimapenzi naye nikaandika;
I .... YOU (jina lake). Kisha nikamwambia ajaze neno ambalo atajisikia vizuri nikiliweka hapo kati. Kwa kasi ya ajabu msg ikajibiwa LOVE
Bebii, can you comment?
we likwanda ushindwe
Duh,hivi ulisema we ni kabila gani vile?Yaani na matusi yote yale ya juzi kutoka kwa NN bado umempunzisha!!Ntakuja kuoa kabila lenuKwani kuna ubaya...?!
Kama ndiyo inayokupndeza why not...!Ok OK here comesUna gender ya Caster Semenya!
Raha kweli....Mmmh unanifurahisha unajijibu mwenyewe! Hahahahahaha Lizzy bwana