Wanaume na I LOVE YOU

Utamu wa ngoma ingia ucheze, tafuta siku!!
 
Sikuizi naona I Love you imekua wimbo wa taifa, hata ladha pia haina tena, na wanaume wakitaka lao loh hawa viumbe hawakati tamaa hasa wakianza kufukuzia mwanamke,sifahamu wanakuaje akilini mwao yani wangekua wanafukuzia maisha hivyo mbona wangetajirika.kama haja kupata majina yote utaitwa wewe darling,petiiiii,love,habibi nyongo mkalia ini,majina 101 utaitwa akishakupata loooooooooooo! unaitwa kicheche.
 
You are absolutely right! subiri mungu akujalie akuoe,ndio utaona ni bahati kubwa hata kuitwa jina lako jina lako,maana kawaida huenda mpaka akafikia kukuita-wewe, wewe !unajidai husikiii eeeh?we kuku! it pains bt that is life!

I hate when my boyfriend calls me by name and not Baby. Am used to it.
 
aisee hivi nani kanionea preta mahali? mwambieni namtafuta bana
 
unadanganywa na I love you kwa 7bu wewe mwenyewe unadanganyika, siunajua tena ujanja ni kupata!
 


kwani wewe binti hupendi kuitwa baby au honey?
 
Umeona eeeeeeeeeeee!!!

 
akanaaana akana kaile kona,kaile kaile nikeogola.JF aliyo'mwana wange ogwo,nibamweta bebii owo'kupambenju!!!!!!!!
 
Research findings:
"I love you" - inatumika kuombea game la kwanza

"I miss you" - inatumika kuombea game la marudiano

Game la tatu na yanayofuata hayahitaji sana maneno matamu ama unaweza kurudia rudia hayo ya juu.


Utafiti umeonyesha, matumizi ya I love you ni more efficient zaidi ya I miss you.
However, kuitumia I love you sana kunaweza kukuletea maafa ya kung'ang'aniwa.
Pia inapunguza matumizi ya, "Wewe unataka tu kunichezea."


Copyright: Mentor@2011, July.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…