Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Mkuki kwa kitimoto....
Siamini kama Eiyer ni kitimoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuki kwa kitimoto....
Ehhhh kwani mambo hayo yapo?!
Ha,ha,ha,haaaa,kwa jina lingine mkuu wa meza!Siamini kama Eiyer ni kitimoto
Dah!!Afadhali maana nilishaanza kuogopa!!Hayapo nakutishia tu ukizingatia sina viungo vya siri na uzazi kama wewe!
Ukweli ni mtam saana!Ufalme wa mbingu utausikia kwa majirani! Hebu ondoka wewe umelaaniwa hahahahaha in a good way thou
I hate when my boyfriend calls me by name and not Baby. Am used to it.
unadanganywa na I love you kwa 7bu wewe mwenyewe unadanganyika, siunajua tena ujanja ni kupata!Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika basi. hii inaonyesha hamjui kutongoza kwani neno ni hilo tu la kumpata mtu?
I hate when my boyfriend calls me by name and not Baby. Am used to it.
do you want to approach her?You have a boyfriend?
bebii
i love you....
Kwani kabla ya huyo MR. I LOVE YOU alikua anamuomba nani?!
Basi aendelee kuwa bila...Alikuwa hana sim
Sikuizi naona I Love you imekua wimbo wa taifa, hata ladha pia haina tena, na wanaume wakitaka lao loh hawa viumbe hawakati tamaa hasa wakianza kufukuzia mwanamke,sifahamu wanakuaje akilini mwao yani wangekua wanafukuzia maisha hivyo mbona wangetajirika.kama haja kupata majina yote utaitwa wewe darling,petiiiii,love,habibi nyongo mkalia ini,majina 101 utaitwa akishakupata loooooooooooo! unaitwa kicheche.