I hate when my boyfriend calls me by name and not Baby. Am used to it.
Akija "real" mnamuona mshamba, na kibuti cha shingoni.ndo mdanganye? mwanaume kweli anatakiwa awe real ndugu
Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you
ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika basi.
ndo mdanganye? mwanaume kweli anatakiwa awe real ndugu
I hate when my boyfriend calls me by name and not Baby. Am used to it.
yaani wewe kizungu tu kinakuchanya kabisaaa, mwambie awe anakuita mtoto
Mimi a guy akiniambia I LOVE YOU kirahisi..... First Dis-qualifier....
Ni wanaume wachache atakupenda kirahisi hivo... nataka akiniambia
nione kabisa anamaanisha... And sometimes it is beta akwambie hata
musha enda third base... kuliko before.... (hua siiamini....kabisaa!!)
Maana mara nyingi hawa kaka zetu hawa... tamaa kwanza mapenzi badae...
Siyo siri ni tamu mno,hasa ukimpata mdada aliyekusumbua kumpata.kweli mnapenda ngono dah why?
Bora umemueleza vizuri Ashadii wengi ni maneno ya kuombea vyupi vyetu usipokuwa makini waeza fikiri u mzuri na unapendwa sanaaaaa.
We know what you love to hear,I hate when my boyfriend calls me by name and not Baby. Am used to it.
Where do you stand??Kwahiyo conclusion ya hii thread mmeamuaje????
Pekundu, it goes bidirectional. Hata nyie mwatuchezea sana na kututelekeza.Ndio tatizo Chauro... sometimes a woman itakiwa akue na ajue kua 97%
ya wanaume wakufuatao ni mwili wako wanatamani.... Is it so hard kukubali hilo??
maana ukikubali hilo then ni rahisi kupata mtu anaekupenda kweli au kukuchezea (as they call it...)
Kwahiyo conclusion ya hii thread mmeamuaje????
Ndio tatizo Chauro... sometimes a woman itakiwa akue na ajue kua 97%
ya wanaume wakufuatao ni mwili wako wanatamani.... Is it so hard kukubali hilo??
maana ukikubali hilo then ni rahisi kupata mtu anaekupenda kweli au kukuchezea (as they call it...)
Pekundu, it goes bidirectional. Hata nyie mwatuchezea sana na kututelekeza.