Wanaume na I LOVE YOU

Wanaume na I LOVE YOU

sigma mimi sipendi kabisa kuambiwa yaani ukiniambia tu nachapa lapa sipendi mashairi hayo
 
Naombeni mnieleweshe jamani hv ni kwa nini wanaume wanapenda kudanganya sana na hili neno i love you
ni vizuri ukisema uwe unamaanisha.ni neno ambalo lina heshima yake. sema pale panapohusika basi.

Mimi a guy akiniambia I LOVE YOU kirahisi..... First Dis-qualifier....
Ni wanaume wachache atakupenda kirahisi hivo... nataka akiniambia
nione kabisa anamaanisha... And sometimes it is beta akwambie hata
musha enda third base... kuliko before.... (hua siiamini....kabisaa!!)
Maana mara nyingi hawa kaka zetu hawa... tamaa kwanza mapenzi badae...
 
ndo mdanganye? mwanaume kweli anatakiwa awe real ndugu

That is the sad reality..
Reality, my dear, is:

"If you want to conquer people, tell them what they want to hear." - Wahenga

Bado hizo story za jogoo na mtetea huwa unasikiliza?
 
ni kweli wako tamaa mbele mapenzi nyuma naona.
 
Bora umemueleza vizuri Ashadii wengi ni maneno ya kuombea vyupi vyetu usipokuwa makini waeza fikiri u mzuri na unapendwa sanaaaaa.

Mimi a guy akiniambia I LOVE YOU kirahisi..... First Dis-qualifier....
Ni wanaume wachache atakupenda kirahisi hivo... nataka akiniambia
nione kabisa anamaanisha... And sometimes it is beta akwambie hata
musha enda third base... kuliko before.... (hua siiamini....kabisaa!!)
Maana mara nyingi hawa kaka zetu hawa... tamaa kwanza mapenzi badae...
 
Bora umemueleza vizuri Ashadii wengi ni maneno ya kuombea vyupi vyetu usipokuwa makini waeza fikiri u mzuri na unapendwa sanaaaaa.

Ndio tatizo Chauro... sometimes a woman itakiwa akue na ajue kua 97%
ya wanaume wakufuatao ni mwili wako wanatamani.... Is it so hard kukubali hilo??
maana ukikubali hilo then ni rahisi kupata mtu anaekupenda kweli au kukuchezea (as they call it...)
 
I hate when my boyfriend calls me by name and not Baby. Am used to it.
We know what you love to hear,
We always make sure you get it your way.
Doesn't cost a thing
 
we sigma hii thread ya kwako hadi uifunge? we vp? inakuuhusu eeh?
 
Ndio tatizo Chauro... sometimes a woman itakiwa akue na ajue kua 97%
ya wanaume wakufuatao ni mwili wako wanatamani.... Is it so hard kukubali hilo??
maana ukikubali hilo then ni rahisi kupata mtu anaekupenda kweli au kukuchezea (as they call it...)
Pekundu, it goes bidirectional. Hata nyie mwatuchezea sana na kututelekeza.
 
Kidude cha thanks sijui wamekiuzia wapi hawa watu.........yani acha kabisa wengine na kazi tunazofanya basi siku kikiamka vibaya waeza kujikuta toka asubuhi unatongozwa na i love you kibao ahadi,sifa na zawadi usiseme sasa usipochanganya na za kwako umeliwa.
HUWA WANAPENDA KUTUAMBIA YALE TUNAYOPENDA KUSIKIA.

Ndio tatizo Chauro... sometimes a woman itakiwa akue na ajue kua 97%
ya wanaume wakufuatao ni mwili wako wanatamani.
... Is it so hard kukubali hilo??
maana ukikubali hilo then ni rahisi kupata mtu anaekupenda kweli au kukuchezea (as they call it...)
 
Pekundu, it goes bidirectional. Hata nyie mwatuchezea sana na kututelekeza.

Nyie machezea toka day one... it is in your nature kuchezea...

Sie tunachezewa... tukiumizwa tunaanza na sie kuchezea...

Get that???
 
Back
Top Bottom