Wanaume na I LOVE YOU



If only tungekua tunaface reality.... yoote haya yasingetukuta... But naona tusiwalaumu... Imagine a Guy anakuja anakuambia

"Nilipo kuona tu nilikutamani mno nikatamani hapo hapo tuka nanihiuu....lol... nakwambia huendi...."
 
Nyie machezea toka day one... it is in your nature kuchezea...
Sie tunachezewa... tukiumizwa tunaanza na sie kuchezea...
Get that???
Got it.
so no need for rioting.
 
Bebiii we cha kufanya mtu akikurushia I LOVE YOU kabla hata hajajua jina lako la mwisho na primary ulisoma wapi unampotezea tu...
 
kuwe na course special maana ni so demanding ya kufundishia wanaume kutongoza yani neno flani linatumika kwenye wakati flani nk nadhani itasaidia wana jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…