Wanaume na I LOVE YOU

Wanaume na I LOVE YOU

Kidude cha thanks sijui wamekiuzia wapi hawa watu.........yani acha kabisa wengine na kazi tunazofanya basi siku kikiamka vibaya waeza kujikuta toka asubuhi unatongozwa na i love you kibao ahadi,sifa na zawadi usiseme sasa usipochanganya na za kwako umeliwa.
HUWA WANAPENDA KUTUAMBIA YALE TUNAYOPENDA KUSIKIA.


If only tungekua tunaface reality.... yoote haya yasingetukuta... But naona tusiwalaumu... Imagine a Guy anakuja anakuambia

"Nilipo kuona tu nilikutamani mno nikatamani hapo hapo tuka nanihiuu....lol... nakwambia huendi...."
 
Nyie machezea toka day one... it is in your nature kuchezea...
Sie tunachezewa... tukiumizwa tunaanza na sie kuchezea...
Get that???
Got it.
so no need for rioting.
 
Bebiii we cha kufanya mtu akikurushia I LOVE YOU kabla hata hajajua jina lako la mwisho na primary ulisoma wapi unampotezea tu...
 
kuwe na course special maana ni so demanding ya kufundishia wanaume kutongoza yani neno flani linatumika kwenye wakati flani nk nadhani itasaidia wana jf
 
Back
Top Bottom