my legAssembled in California made in China.
And time can be wasted!!"Time will tell."
Acha bana, Only one superman did that for the world's salvation. PeriodI LOVE YOU ya kweli ni ile unamwambia mtu kama ni kweli basi asimame barabarani agongwe na gari kwa ajili yako akikataa utajua tu hiyo I LOVE YOU ni ya uongo......feel me!!!????
And time can be wasted!!
Hahaha!!! Mkuu mbona umeanza kuogopaAcha bana, Only one superman did that for the world salvation. Period
And it may keep silent forever"Time will tell."
" I love you" mtu anweza akakwambia hilo neno na si kukutaka kimapenzi ....
mfano unapoacha ofisi na kutoa farewell speech unaweza ukawaambia wafanyakazi wenzako " I love you guys it was my plessure working with you"
tatizo ni mabinti ... wana exagerrate hili neno...! mtu anye kutaka kimapenzi ataonesha kwa vitendo " i love u ni neno tu la kawaida "
" I love you" mtu anweza akakwambia hilo neno na si kukutaka kimapenzi ....
mfano unapoacha ofisi na kutoa farewell speech unaweza ukawaambia wafanyakazi wenzako " I love you guys it had been my pleasure working with you people "
tatizo ni mabinti ... wana exagerrate hili neno...! mtu anye kutaka kimapenzi ataonesha kwa vitendo " i love u ni neno tu la kawaida "
Acha kututoa kwenye mstari bana.... hapa ile ya wewe Viper you tell your lady.... acha hio ya hivo....
Ndio kweli wana exaggerate... na bahati mbaya katika kiswahili hatuna LIKE Vs LOVE....
Uwe una LIKE au una LOVE yooote ni LOVE.....
BTW Salam namaste Viper...
Keren sasa hapo ndo zile lawama za umenipotezea muda wangu zinapoanza maana mtu anaweza akatumia miaka yake mitatu kutaka kujua I LOVE YOU aliyopewa ilimaanishwa au ilikua geresha.Ukizingatia kwamba wasanii wengi wa mapenzi hua waigizaji wazuri anaweza akakuuzia hiyo I LOVE YOU kwa maneno na matendo mpaka pale atakaporidhika na kutosheka na wewe/atakapopata role play kwingine ndo ugundue kwamba ilikua geresha.Ukikutana na watu wa aina hii mara 3 au 4 maishani mwako ina maana kwamba utapoteza angalau miaka 10 ya maisha yakp yote kutaka kutofautisha I LOVE YOU original na mchina.Nani mwenye muda huo?!That is very true Lizzy, but you need time to distinguish between these two "I LOVE YOU".
hahaha! Asha Dii "namaste didi " miss u! ...
basi mi namshauri Bebii . M.me anapotema I LOVE YOU amuangalie usoni ...! je ni ya kirafiki ama ile yenyewe yenyewe .. when you are in love! and this word come out of your mouth (EYES CAN TELL THE STORY) so bebii mcheki usoni
Hata huyo ninayemlavu ikifikia hatua hiyo nakula konaHahaha!!! Mkuu mbona umeanza kuogopa
You put it well Lizzy,wasanii wengi wa mapenzi hua waigizaji wazuri anaweza akakuuzia hiyo I LOVE YOU kwa maneno na matendo
And time can be wasted!!
Keren sasa hapo ndo zile lawama za "umenipotezea muda wangu" zinapoanza maana mtu anaweza akatumia miaka yake mitatu kutaka kujua I LOVE YOU aliyopewa ilimaanishwa au ilikua geresha.Ukizingatia kwamba wasanii wengi wa mapenzi hua waigizaji wazuri anaweza akakuuzia hiyo I LOVE YOU kwa maneno na matendo mpaka pale atakaporidhika na kutosheka na wewe/atakapopata role play kwingine ndo ugundue kwamba ilikua geresha.Ukikutana na watu wa aina hii mara 3 au 4 maishani mwako ina maana kwamba utapoteza angalau miaka 10 ya maisha yakp yote kutaka kutofautisha I LOVE YOU original na mchina.Nani mwenye muda huo?!