Wanaume na I LOVE YOU

Wanaume na I LOVE YOU

I LOVE YOU ya kweli ni ile unamwambia mtu kama ni kweli basi asimame barabarani agongwe na gari kwa ajili yako akikataa utajua tu hiyo I LOVE YOU ni ya uongo......feel me!!!????
Acha bana, Only one superman did that for the world's salvation. Period
 
" I love you" mtu anweza akakwambia hilo neno na si kukutaka kimapenzi ....

mfano unapoacha ofisi na kutoa farewell speech unaweza ukawaambia wafanyakazi wenzako " I love you guys it had been my pleasure working with you people "

tatizo ni mabinti ... wana exagerrate hili neno...! mtu anye kutaka kimapenzi ataonesha kwa vitendo " i love u ni neno tu la kawaida "
 
" I love you" mtu anweza akakwambia hilo neno na si kukutaka kimapenzi ....

mfano unapoacha ofisi na kutoa farewell speech unaweza ukawaambia wafanyakazi wenzako " I love you guys it was my plessure working with you"

tatizo ni mabinti ... wana exagerrate hili neno...! mtu anye kutaka kimapenzi ataonesha kwa vitendo " i love u ni neno tu la kawaida "

Acha kututoa kwenye mstari bana.... hapa ile ya wewe Viper you tell your lady.... acha hio ya hivo....
Ndio kweli wana exaggerate... na bahati mbaya katika kiswahili hatuna LIKE Vs LOVE....
Uwe una LIKE au una LOVE yooote ni LOVE.....

BTW Salam namaste Viper...
 
" I love you" mtu anweza akakwambia hilo neno na si kukutaka kimapenzi ....

mfano unapoacha ofisi na kutoa farewell speech unaweza ukawaambia wafanyakazi wenzako " I love you guys it had been my pleasure working with you people "

tatizo ni mabinti ... wana exagerrate hili neno...! mtu anye kutaka kimapenzi ataonesha kwa vitendo " i love u ni neno tu la kawaida "

Ni kweli kabisa, hili neno linaweza kutumika kwa maana tofauti na ya kimapenzi. Lakini nafikiri mleta hoja alikuwa ana maana pale inapotumiwa kama silaha ya kumpata mtu kimapenzi.......
 
Acha kututoa kwenye mstari bana.... hapa ile ya wewe Viper you tell your lady.... acha hio ya hivo....
Ndio kweli wana exaggerate... na bahati mbaya katika kiswahili hatuna LIKE Vs LOVE....
Uwe una LIKE au una LOVE yooote ni LOVE.....

BTW Salam namaste Viper...

hahaha! Asha Dii "namaste didi " miss u! ...

basi mi namshauri Bebii . M.me anapotema I LOVE YOU amuangalie usoni ...! je ni ya kirafiki ama ile yenyewe yenyewe .. when you are in love! and this word come out of your mouth (EYES CAN TELL THE STORY) so bebii mcheki usoni
 
So uso unakuaje kama ya ukweli? Na ya uongo unakuaje tena sijakuelewa
 
That is very true Lizzy, but you need time to distinguish between these two "I LOVE YOU".
Keren sasa hapo ndo zile lawama za “umenipotezea muda wangu“ zinapoanza maana mtu anaweza akatumia miaka yake mitatu kutaka kujua I LOVE YOU aliyopewa ilimaanishwa au ilikua geresha.Ukizingatia kwamba wasanii wengi wa mapenzi hua waigizaji wazuri anaweza akakuuzia hiyo I LOVE YOU kwa maneno na matendo mpaka pale atakaporidhika na kutosheka na wewe/atakapopata role play kwingine ndo ugundue kwamba ilikua geresha.Ukikutana na watu wa aina hii mara 3 au 4 maishani mwako ina maana kwamba utapoteza angalau miaka 10 ya maisha yakp yote kutaka kutofautisha I LOVE YOU original na mchina.Nani mwenye muda huo?!
 
hahaha! Asha Dii "namaste didi " miss u! ...

basi mi namshauri Bebii . M.me anapotema I LOVE YOU amuangalie usoni ...! je ni ya kirafiki ama ile yenyewe yenyewe .. when you are in love! and this word come out of your mouth (EYES CAN TELL THE STORY) so bebii mcheki usoni

Guess with the above ushauri she will go places....lol...

Miss you too Viper.... Umepotea...
 
Na nyie mnapenda sana kudanganywa,msipoambiwa I LOVE U hamkubali,japokuwa sipendi sana kutumia hilo neno!!!
 
Mungu ameagiza: 'Enyi waume wapendeni wake zenu' na kwa upande mwingine ameagiza: 'Enyi wake waheshimuni waume zenu'.

Kwa kuwa uzinzi ni igizo la ndoa takatifu, shetani ameendelea kumshawishi kila mwanaume anayekutana na mwanamke aseme 'I Love you' akimaanisha kuwa anahitaji kukutana naye mithili ya wanandoa. Hatimaye maneno hayo yamezoeleka na kuwa ndiyo chanzo cha kum-approach mwanamke yeyote unayemtaka.

Dada zetu msituchoke kwa kuwa hata ninyi mkisikia maneno hayo tu tayari 'message sent and delivered' mnabaki kuamua tu 'yes' au 'no'.
 
Ukiisha mpa hyo k2 cjui kama utasikia tena aksema i love u!
 
Keren sasa hapo ndo zile lawama za "umenipotezea muda wangu" zinapoanza maana mtu anaweza akatumia miaka yake mitatu kutaka kujua I LOVE YOU aliyopewa ilimaanishwa au ilikua geresha.Ukizingatia kwamba wasanii wengi wa mapenzi hua waigizaji wazuri anaweza akakuuzia hiyo I LOVE YOU kwa maneno na matendo mpaka pale atakaporidhika na kutosheka na wewe/atakapopata role play kwingine ndo ugundue kwamba ilikua geresha.Ukikutana na watu wa aina hii mara 3 au 4 maishani mwako ina maana kwamba utapoteza angalau miaka 10 ya maisha yakp yote kutaka kutofautisha I LOVE YOU original na mchina.Nani mwenye muda huo?!

Mh..Lizzy mtu hawezi kukudanganya for that long wangu.
Kuna mawili kati ya haya;
Either, baada ya mda atachoka kukungojea na utajua huyu hakuimaanisha love yake.

Or, Kuna wakati atajiuza tu kidogo, si unajua za mwizi arobaini ila za mwongo fupi!!
 
Back
Top Bottom