Wanaume na Mitandio Kulikoni?

Wanaume na Mitandio Kulikoni?

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
Kuna baadhi ya wanaume wanapenda sana mavazi ya kike! Unakuta mwanaume anavaa kikuku ama pete kwenye vidole vya miguuni. Mwanaume anavaa G string, ama vipedo jamani mavazi ya dada zetu hayo.

attachment.php


Tatizo limeingilia hata wanamichezo, hebu angalia hawa Taifa stars na mitandio yao. Sitaki kuamini hizo ni scarf maana kwa joto la Dar siwaelewi. Tunaiga mno hadi ujinga sasa.

GO9G9917.JPG
 

Attachments

  • Wanaume.JPG
    Wanaume.JPG
    155 KB · Views: 124
  • Wanaume.JPG
    Wanaume.JPG
    52.2 KB · Views: 114
huyu ndo yule wanamuita ombama?makubwa!
 
afu huyu kocha wa stars kama mgonjwa hivi
 
Aaaaa Rev sasa si wamerembeshea hapo kidogo bana mmm??
 
Vikuku, pete za vidole na G-string akivaa mwanaume its obvious ni BWABWA. Vipedo na mtandio ni style ambayo hata wanaume wanavaa, tofauti ni hiyo mshono.

Mimi sioni tatizo ya picha hapo juu.
 
Jamaa wanakula mitandio mbele ya Rahisi Kikwete! Du
 
Jamani sidhani kama mtandio una maana kubwa hivyo!Wameongeza tu vionjo!

vionjo vingine mmmhhhhh kazi kubwa sana! Joto la Dar jamani na vibwagizo hivyo?
 
Vikuku, pete za vidole na G-string akivaa mwanaume its obvious ni BWABWA. Vipedo na mtandio ni style ambayo hata wanaume wanavaa, tofauti ni hiyo mshono.

Mimi sioni tatizo ya picha hapo juu.

Kwa hiyo hiyo kanga begani ni sawa kwake????
 
Back
Top Bottom