Wanaume na style ya kufuga ndevu

Wanaume na style ya kufuga ndevu

huo muda wa kunyoa ndevu au vuzi mnautoa wapi ukijikata je?
images (9).jpeg
 
Habari,

Husikia na kichwa cha habari hapo juu,

Kumekuwa na fashoni fulani la wanaume kuachia midevu kama wehu.

Hii fashion Kuna wenye kipilipili originali Hawa wanakuwa kama wehu.

Yaani Kuna wanaopendeza kama nini maana sura zao zinachangia...

Kuna wengine wamekuwa kama wachafu Fulani hivi yaani wachandevu...

Wanaume mnanini lakini...
Hiyo kazi yako mwanmke kuzichana kma zina viplipili
 
Acha ukuda, Mbona nyie mnafuga vuzi lakini hatusemi

Kuna pisi nilikutana naye mkaliiii ila vuzi hilo sasa kama rasta za bob markey.
 
Back
Top Bottom