Wanaume na style ya kufuga ndevu

Picha | Mwenyekiti wao - Ameongeza hoja yako kwenye agenda za kikao
 
Kama wanawake wengi wanavyolingia misambwanda Yao, mwenye msambwanda mkubwa anajiona ni Bora sana, kuliko wengine,na sie wanaume tunajivunia sana midevu!
Kitaa na kwa job, naitwa Rick loss, kwa sababu ya midevu yangu
 
Nafikiri itakuwa midevu ya singa Wala sio kipilipi
 
ndevu afuge mwingne wewe uumie,una tatzo la afya ya akili
 
uzi wako bila picha ni utumbo mtupu 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…