Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 100
Hi my people! Kunamambo hua najiuliza nakosa jibu naishia kucheka mwenyewe, hivi kwa nini wanaoongoza kwa vituko niwanaume? Utakuta amechumbia mwenyewe akaoa baada ya muda ooh sikutaki nilikuoa kwa bahati mbaya. Haya utakuta kalewaa mpaka kakutwa kalala barabarani ni mwanaume huyo, haya unakuta mwingine ananukaaa viatu ni mwanaume huyo, utakuta mwingine kavaa suti na raba ni mwanaume huyo, mwingine hafanyi kazi yani ye kaziake lulelewa na mijimama, mwingine tageti yake nikua na wadada wenye pesa zao. Ukirudi nyumbani unakuta libaba likubwa linatembea na vischana vya shule umri wa mabinti zake LIFATAKI HILO LIMWANAUME, mwingine anawake wa nne hata kama kuwahudumia hawezi mwanaume huyo. Ukikuta kakosa confidence ujue kafirisika mwanaume huyo. Anaepiga mke wake mpaka mke anazimia ni mwanaume, unakuta mwingine kavaa shati la njano suruali ya blue kiatu cha udongo koti jekundu yani hata hajielewi mwanaume huyo. Mwanaume mwingine anazalisha watoto wa watu then anakataa sio yeye mwanaume huyo. Mwingine anampa mimba mdada halafu yeye ndo wakwanza kumshauri akatoe, mwingine akitaka mdada akamkataa anaapa kumkomesha kama lazima kukubaliwa, mwingine anajua anaoa kesho leo usiku anaenda kulala na gfriend wake wa zamani, mwingine akipata pesa anakua nasifa za kufa mtu yani yeye ndo tajiri, bosi yeye, superstar yeye, kila mtu anamuheshim, majivuno kibao haheshim hata walo mzidi. Mwingine anaoa then akipata nyumba ndogo madharau kwa mkewe ampige, amkashfu, amfukuze saingine avuke mpaka mipaka amuombe mkewe tigo ilimradi kachanganyikiwa tu hata tigo yenyewe hajawahi jaribu. Mwingine amponde mkewe ooh mnene wewe unakitambi mara ooh ulikua mzuri zamani umezeeka sasa, usipopungua unene nakuacha, kila mwanaume anadai anapenda mwanamke mwembaba wakati dada zao waneneee? Mwanaume huyohuyo anadanganyika kwa wanawake wanje mpaka inafikia akiitiwa wazee kwa ushauri wachungaji, mapadri au mashekhe anawafukuza kama mbwa , akili yake ikirudi linalia linamuomba mkewe na wazee msamaha. Mwingine ahamie nyumba mdogo yakimshinda au akiugua hoi ndo anakumbuka kwa mkewe anarudi kuuguzwa kwa mama wa watu. Hivi jamani kunamtu anaejua vituko vyote hivi na vingine vingi mnavyoweza kuviongezea vya huyu kiumbe vinatokana nanini? Thanx.