Wanaume na vituko vyao.

Wanaume na vituko vyao.

Mamushka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2010
Posts
1,595
Reaction score
100
Hi my people! Kunamambo hua najiuliza nakosa jibu naishia kucheka mwenyewe, hivi kwa nini wanaoongoza kwa vituko niwanaume? Utakuta amechumbia mwenyewe akaoa baada ya muda ooh sikutaki nilikuoa kwa bahati mbaya. Haya utakuta kalewaa mpaka kakutwa kalala barabarani ni mwanaume huyo, haya unakuta mwingine ananukaaa viatu ni mwanaume huyo, utakuta mwingine kavaa suti na raba ni mwanaume huyo, mwingine hafanyi kazi yani ye kaziake lulelewa na mijimama, mwingine tageti yake nikua na wadada wenye pesa zao. Ukirudi nyumbani unakuta libaba likubwa linatembea na vischana vya shule umri wa mabinti zake LIFATAKI HILO LIMWANAUME, mwingine anawake wa nne hata kama kuwahudumia hawezi mwanaume huyo. Ukikuta kakosa confidence ujue kafirisika mwanaume huyo. Anaepiga mke wake mpaka mke anazimia ni mwanaume, unakuta mwingine kavaa shati la njano suruali ya blue kiatu cha udongo koti jekundu yani hata hajielewi mwanaume huyo. Mwanaume mwingine anazalisha watoto wa watu then anakataa sio yeye mwanaume huyo. Mwingine anampa mimba mdada halafu yeye ndo wakwanza kumshauri akatoe, mwingine akitaka mdada akamkataa anaapa kumkomesha kama lazima kukubaliwa, mwingine anajua anaoa kesho leo usiku anaenda kulala na gfriend wake wa zamani, mwingine akipata pesa anakua nasifa za kufa mtu yani yeye ndo tajiri, bosi yeye, superstar yeye, kila mtu anamuheshim, majivuno kibao haheshim hata walo mzidi. Mwingine anaoa then akipata nyumba ndogo madharau kwa mkewe ampige, amkashfu, amfukuze saingine avuke mpaka mipaka amuombe mkewe tigo ilimradi kachanganyikiwa tu hata tigo yenyewe hajawahi jaribu. Mwingine amponde mkewe ooh mnene wewe unakitambi mara ooh ulikua mzuri zamani umezeeka sasa, usipopungua unene nakuacha, kila mwanaume anadai anapenda mwanamke mwembaba wakati dada zao waneneee? Mwanaume huyohuyo anadanganyika kwa wanawake wanje mpaka inafikia akiitiwa wazee kwa ushauri wachungaji, mapadri au mashekhe anawafukuza kama mbwa , akili yake ikirudi linalia linamuomba mkewe na wazee msamaha. Mwingine ahamie nyumba mdogo yakimshinda au akiugua hoi ndo anakumbuka kwa mkewe anarudi kuuguzwa kwa mama wa watu. Hivi jamani kunamtu anaejua vituko vyote hivi na vingine vingi mnavyoweza kuviongezea vya huyu kiumbe vinatokana nanini? Thanx.
 
They are just men..........ukitaka kuwatafakari hawa,utakufa huna majibu Mamushka!!!
 
nafikiri hakuna asiye na vituko dunia ya leo wanaume/wanawake wote vituko nachokiona tumeishia kuangalia zaidi vituko kuliko kutafuta suluhisho.
ukiona kituko cha mwanaume nyuma kuna mwanamke/ sawa na upande wa pili kituko cha mwanamke nyuma kuna mwanaume .
 
Du..Leo kweli umewaamkia wanababa!
Lakini ungeiwekea paragraph vizuri habari yako ili ivutie!
Kwa mimi binafsi siwezi kubiiisha sana juu ya hayo maoni yako, maana ndiyo mambo ya kawaida mitaani!
Akina mama pia mna vituko vyenu...na sisi tuanze kuvitaja?
Itakuwa balaa eti...cha msingi kurekebishana inapotokea hali ya kuudhiana!
 
Naona zimekuzi hizo nye..... zako. Njoo tuzitulize (mwanaume huyo) fanya haraka tukutibu usije ukaugua ugonjwa wa kucheka cheka bure
 
Mh ndugu hapana kituko si vituko vyote nyuma kuna mtu no, wengine wako wenyewe lakini vituko kabakaba.
 
Pakajimmy kwanza nashkuru ujumbe umefika, pia vituko vyetu nadhani vilishachambuliwa vyote tulisahau kuchambua vyenu.
 
Mamushka usitake tuanze kujibishana halafu mtaanza kusema tunawaonea.....! Kwani hizo nyumba ndogo ni wanaume au wanawake? Unapomzulumu mmeo mbegu, huku ukidai vikwazo vikali vya DNA test ni halali? Wewe unapotoa tunda lako kwa wanaume wengine mimi nitakuwa na uhakika gani kuwa huwa huliwi tiGO? Just to say little...
 
Naona zimekuzi hizo nye..... zako. Njoo tuzitulize (mwanaume huyo) fanya haraka tukutibu usije ukaugua ugonjwa wa kucheka cheka bure

Cheki hicho nacho kituko tayari.
 
kweli hao uliwataja hapo hawafai.... nadhani tusiwaite wanaume tuwaite wapuuzi sababu wapo kwenye jinsia zote
 
Mh ndugu hapana kituko si vituko vyote nyuma kuna mtu no, wengine wako wenyewe lakini vituko kabakaba.

sasa kama wapo wenyewe wanafanya na nani?basi watakuwa vichaa hao huwezi waita wanaume
 
Back
Top Bottom