Wanaume na wanawake mnaoendesha magari machafu mmelaaniwa hakika mjitathimini upya

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Ndugu zangu natumaini mnaendelea salama kwa wale wenye changamoto ya kiafya na kiuchumi Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi . Amina

Bila ya kupepesa macho huu ni ukweli usiopingika kwamba mnao endesha magari machafu mnalaana za uchafu uliokithiri kupita kiasi. Hakika mmelaaniwa

Ndugu zangu kumekua na kundi kubwa sana la wanaume na wanawake wenye laana za uchafu wanaoendesha magari machafu mjini huku wamevalia vizuri na kujipiga manukato yenye kunukia sana na kusababisha kero huku na kule bila kusahau kundi hili likiwa linaongozwa sana na wanawake ma-slay queen.

Ndugu zangu ukweli ni kwamba watu hawa wenye magari yao machafu wamekua kero maeneo ya mijini na kwenye majiji makubwa, watu hawa wamekua wakizichafua barabara zetu za majiji na miji kwa magari yao machafu na hata wakati mwingine wakiwa ni wenye kutia aibu kwenye parking za magari maeneo ya starehe na kujipatia huduma za kijamii

Mbaya zaidi unakuta gari limejaa vumbi akifungua mlango lina toa harufu ya uvundo huko ndani, ukichunguza kwa makini utalikuta gari lina mende, mabuibui, vumbi na mauchafu yamejaa ndani ya gari chin ya sit kama stoo ya matakataka
Ndugu zangu kinachoshangaza sana unakuta mvua imepita manyunyu manyunyu (rasha rasha) na kuzidi kulichafua gari lililojaa vumbi na tope kila mahali ila mwendeshaji aliyejaa laana za uchafu hajali chochote kile

Kwanini na sema wana laana za uchafu

1: Uchafu ni tabia za kishetani na shetani ni laana

Siku zote tabia ya mtu hata akiificha vipi itainekana tuu kwenye matend yake, maandiko matakatifu yanasema tutawatambua kwa matendo yao.

Kitendo cha kuendesha gari chafu kinaonyesha wewe una tabia za uchafu na ni mchafu nje na ndani, ukweli ndugu hawa watu wanaonyesha kabisa hata huko ndani kwenye majumba yao wanakolala na miili yao ni michafu vivyo hivyo kama magari yao yalivyo machafu, wanaonyesha kabisa nguo wanazozivaa na kunawiri wanavaa juu ya miili michafu . Wao ni kufunika uchafu wa miili yao kwa kuto kuoga huku wanasahau magari wanayoyaendesha yanaelezea tabia zao chafu.

2: Uchafu ni akili za kifukara na umasikini

Huwezi kukuta kirahisi rahisi mtu mwenye akili timamu akawa mchafu .

Siku zote wenye akili za kifukara na kimasikini ni wachafu huku wakijifariji kwamba ipo siku na wao watapata na watakua juu.

Mnaoendesha magari machafu nyie mnanuka akili za kifukara na umasikini kupita kiasi, mnajikuta wajanja kuendesha magari machafu ili muonekane wapambanaji kumbe nyie ni fukara hamna mtazamo wowote chanya wa kifikra, ingelikua mna akili mngetumia hizo akili kuanza kujua kuwa hilo gari unalo endesha ni chafu na ulisafishe

3: Uchafu ni adui wa afya na niishara ya afya mbovu

"Nanukuu nitawapiga kwa tauni na magonjwa ya siyo pona" siku zote Mnaoendesha magari machafu afya zenu wengi wenu ni mbovu na mnapitia mapigo mazito mazito. Asilimia kubwa mna matatizo ya afya ya akili na maradhi ambatanishi yanayoainishwa kwenye muonekano wa magari yenu machafu mnayoendesha huko njiani mkae mkijua hili

4: Uchafu ni uvivu na uvivu ni laana

i) Huwezi kusema mwanamke unataka kua mke wa mtu na unalaana za uchafu zilizo kithiri, utatunzaje watoto na mume kama wewe ni mvivu wa kuwajibika unao kupelekea kua mchafu, utawezaje kutunza nyumba iwe safi na kuosha huko ikulu ili hali hata kupeleka gari car wash lisafishwe huwezi , wajinga mtasema hamna hela, sasa jiulizeni hela ya kuweka mafuta mnapata wapi ili hali ya kuosha gari mara moja kwa week hamna. Hiyo ni laana kama huna hela tembea kwa mguu acha gari . Wanaume muwe makini sana na hawa wanawake

ii) Nawe mwanaume huwezi kutaka kuoa ilihali una laana kali za uchafu na uvivu. Mwanaume ni kuwajibika kama unashindwa kujiwajibisha mwenyewe kwa kutambua gari lako ni chafu na unapaswa kuliweka safi utaweza vipi kuishi na mwanamke na kutimiza majukumu yote ya kiume kama wewe ni mvivu hata kuosha gari lako huwezi. Mwanaume anaye endesha gari chafu anaonyesha kabisa ni mvivu na siyo mwajibikaji wanawake muwe makini na hawa majamaa

5: Uchafu ni ishara ya laana kali kupita kiasi na ni utindio wa ubongo

Huwezi kubarikiwa ukaishi pachafu ila siku zote aliye laaniwa na asiye na akili hupenda uchafu na makao yake ni machafu . Huwezi ukajiita umebarikiwa na kununua gari ili hali unashindwa kutunza gari lako likawa safi, unashindwa kukagua gari na kulifuta walau kidogo ili liwe na mwonekano safi ndipo utoke nalo.

Huwezi ukajiita wewe ni msafi na unavaa smart ili hali unaendesha gari chafu. Kaa ukijua kiwango cha uchafu wa gari lako hata uvaaje vizuri unaonyesha kabisa kwenye jamii wewe hauogi na hata huko ndani kujisafisha huwezi na ni mchafu vile vile na hauna akili timamu

Nb.

" UCHAFU NI TABIA NA NI LAANA ZA UVIVU , TABIA YAKO YA UCHAFU NA LAANA ULIZO NAZO ZA UCHAFU HATA UZIFICHE VIPI GARI UNALOLIENDESHA LITAKUUMBUA TUU MAANA TUMEAMBIWA TUTAWATAMBUA KWA MATENDO YENU"
 
Attachments

  • Screenshot_20240824-121627.png
    Screenshot_20240824-121627.png
    324.2 KB · Views: 16
Huwa sielewi mtu anayehangaika na maisha ya wengine wasiomuhusu. Umejuaje labda ni masharti ya waganga!?,.. kama ni ndugu zako au marafiki simu zao unazo, waambie straight ukiona uchafu. Wapita njia hawakuhusu, sio kila gari unaloliona ni gari halisi mengine viini macho. Mjini ni "mind your business".
 
Usikariri lakini gari kuchafuka sii lazima ikawa haijasafishwa.Inategemea mwenye gari anapita njia ipi kwenda nyumbani kwake au kutoka nyumbani kwake,usijifananishe na wewe unatoka nyumbani lami ukirudi nyumbani lami.Gharama ya kuliosha gari gharama ya chini kuanzia buku 10.Fikiria muda wako ulivyo na wake ulivyo achilia vipato.
 
Back
Top Bottom