Wanaume na wanawake tumbua jipu linalo kukera.

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Kama kichwa kinavo jieleza hapo juu.
Kila mtu hapa ana kile kinachomkera kwa jinsia tofauti na yake.
Hapa ni sehemu ya kuelezana ukweli bila kuficha.
Tukianza na mimi.
Ninyi wadada nawaambieni ukweli Leo usijidanganye kuwa wewe eti ni mzuri sana kisa unatongozwa na wanaume kila kona.
Ukweli ni kwamba sio kwamba unavutia sana bali unatamanisha watu tu kwasababu unatembea uchi mitaani.
We unavaa nusu uchi sa unadhani kitatokea nini kama sio watu kukutaka?
Nasema kukutaka na sio kukupenda kwasababu kakuona upo uchi ndo mana kakukurupukia akimaliza haja zake anaondoka zake unabaki ukilalamika ooh wanaume wabaya.
Mnasema wanaume wabaya wakati mnawabaka kwa kutembea kwenu bila nguo.
Hasa nyie mnao jiita wasomi.

Nadhani ujumbe wangu umefika.

Haya kazi kwenu hapa ni mwendo wa kutumbua tu.
 
Waache maringo ,maponzi na kujiona na wawe tabia njema ,wasitiri miili yao watafika mbali na wataheshimika na jamii in exchange mtegemee kukutwa na mabalaa kila kukicha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…