Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uonavyo wewe na malezi yako ulivyolelewa siwezi kukulazimisha uamini kua kuna umuhimu wa kuishi vizuri na watu wa ukoo wako na jamii kwa ujumlaKusema kuishi vzuri na watu ni ngumu sana kuna binadam wana roho za kuchukia tu hata hujamkosea. Kusema umthamini kila mtu kuna wengine hawathaminiki. Just live your life mkuu
Pole sana [emoji1] [emoji1]Kati ya watu wanaoishi vibaya na jamii(JF) ni ww mwenyewe mleta mada. Nimeshuhudia mara kadhaa comment zako za dharau/matusi na majivuno dhidi ya wanaJF wenzako.
Sijui huko mtaani kwenu unaishi vipi na jamii! Kwani unaonekana ni chui anayejitahidi kujivisha ngozi ya kondoo.
Toa kwanza kibanzi ndani ya jicho lako ndipo umtoe jirani yako boriti.
Ni hayo tu nothing personal.
Jitafakari/jitathimini kisha chukua hatua.Pole sana [emoji1] [emoji1]
Labda hatua uchukue wewe, waliopo jf wote Mimi nawathamini na kuwaona wana uwezo mkubwa sana wa Ku socialize na jamii na ndio maana tuna ambizana,tunakosoana,tunavumiliana na mwisho wa siku tunajengana! Hoja yako ya kusema Nina majibu ya hovyo wala haina mashiko majibu mengi ya humu ni ya kupoteza muda tu na kuchekeshana na hayasadifu namna mtu anavyoishi na ukoo wala jamii yake,nilichofanya ni kukumbushana tu na wala hakimaanishi kusema kua Mimi nimetimia timilifu (nipo perfect) la hasha!!Jitafakari/jitathimini kisha chukua hatua.
Hii ndio HULKA ILIYO RAFIKI????? Usimdhanie aliye juani kapenda hata kivulini nako tabu...Mpuuze,wape nafasi wengine
"majibu mengi ya humu ni ya kupoteza muda tu na kufurahishana". Haswaa ww ndiye mwenye tabia hii. Ww kama unachukulia uwepo wako humu ni kupoteza muda tu na kufurahishana tafadhali usitukwaze wengine ambao tunajifunza na kuhabarishana humu.Labda hatua uchukue wewe, waliopo jf wote Mimi nawathamini na kuwaona wana uwezo mkubwa sana wa Ku socialize na jamii na ndio maana tuna ambizana,tunakosoana,tunavumiliana na mwisho wa siku tunajengana! Hoja yako ya kusema Nina majibu ya hovyo wala haina mashiko majibu mengi ya humu ni ya kupoteza muda tu na kuchekeshana na hayasadifu namna mtu anavyoishi na ukoo wala jamii yake,nilichofanya ni kukumbushana tu na wala hakimaanishi kusema kua Mimi nimetimia timilifu (nipo perfect) la hasha!!
Kwako wewe kumpuuza mtu yaweza isiwe hulka ya urafiki ila kwangu mie huitumia mbinu hiyo kupunguza makali ya makwaruzano, unapompuuza mtu unaondoa nafasi ya nyie wawili kugombana kwa Yale atayokufanyia kwa makusudiHii ndio HULKA ILIYO RAFIKI????? Usimdhanie aliye juani kapenda hata kivulini nako tabu...
Asante"majibu mengi ya humu ni ya kupoteza muda tu na kufurahishana". Haswaa ww ndiye mwenye tabia hii. Ww kama unachukulia uwepo wako humu ni kupoteza muda tu na kufurahishana tafadhali usitukwaze wengine ambao tunajifunza na kuhabarishana humu.
Yapo majukwaa mengi tu ambayo unaweza jibu hovyohovyo kama sio kupoteza muda tu na kufurahishana sio kuja kucomment hovyohovyo kwenye threads za maana.
Kingine punguza dharau na kujikweza utaishi vizuri na jamii hasa hapa JF huko mtaani kwenu cjui.
Karibu tena.Asante
Upo sahihi kabisa kiongozi, ajichunguze sana pia. Ana majibu ya karaha na kujikweza sana.Kati ya watu wanaoishi vibaya na jamii(JF) ni ww mwenyewe mleta mada. Nimeshuhudia mara kadhaa comment zako za dharau/matusi na majivuno dhidi ya wanaJF wenzako.
Sijui huko mtaani kwenu unaishi vipi na jamii! Kwani unaonekana ni chui anayejitahidi kujivisha ngozi ya kondoo.
Toa kwanza kibanzi ndani ya jicho lako ndipo umtoe jirani yako boriti.
Ni hayo tu nothing personal.
Ni kweli kiongozi, yy hujiona yuko sawa kujibu watu hovyohovyo. Sasa tuliopembeni ndio tunaona mapungufu yake.Upo sahihi kabisa kiongozi, ajichunguze sana pia. Ana majibu ya karaha na kujikweza sana.
Sorry kwa kuingilia.
Teh teh teh No body is perfect under the sun,nikikuboa nipuuze lakini usinichukie kiasi cha kuniandama !Ni kweli kiongozi, yy hujiona yuko sawa kujibu watu hovyohovyo. Sasa tuliopembeni ndio tunaona mapungufu yake.
Ni vyema tukamuelewesha kama hv abadilike akikataa pia ni hiari yake mwenyewe na maisha yake.
Ila naimani ameshaanza kubadilika.