Hahaha safi sana, jibu muruwa kabisa hili.Tutakuja msimu wa mavuno
Ha ha ha ha asante mkuuHahaha safi sana, jibu muruwa kabisa hili.
Hahaha we kadada unanichekesha sana, kweli ukiingia JF hata kama ulikuwa na stress lazima ufurahi.Hahahaa! Wakati nilivyokuja mwaka juzi mabango kibao ya waganga wa kienyeji yamejaa barabarani. Usipende kuwa mbishi wewe na huyo mwenzako Dam55
Hahahaa! Hiyo ndio shida sasa kila kitu hamkifanyi watu wa dsm. Basi sawa.Hahaha we kadada unanichekesha sana, kweli ukiingia JF hata kama ulikuwa na stress lazima ufurahi.
Hivi u nadhani hao waganga wanatoka wapi ?
Njaa zikishawapiga huko mikoani wanakimbilia dar na kuja kuweka mabango yao ya uganga huku yote ni kutaka pesa zate.
Mara utasikia mjukuu wa babu toka Tanga Mara ooh simba mtoto kutoka sumbawanga.
Sasa kibaya zaidi watoto wa mjini weshashtuka na huwa hawaendi huko kwa hao waganga.
Kinachotokea wale madogo wa huko mikoani wanapokuja dar kutafuta maisha mbio wanakimbilia kwa hao mababu zao wapewe hirizi kwasababu bado ni washamba hapa mjini hawajui wapi pa kupita.
Na hao wengine wanakimbia familia zao huko mikoani wakifika dar wanawahi kwa waganga wao kwenda kujikinga wakidhani na huku tunarogana kama huko kwao.
Hawajui uchawi wa dar ni maujanza tuu.
Chukueni waganga wenu sisi hatuna haja nao huku.
Mkuu njoo umuone huyu anatwambia et sisi tumejaza waganga huku hahahaha wakati hawa waganga wanakimbia njaa huko kwao mikoani!!Ha ha ha ha asante mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanawake Wa dar wavaa madela bila chupi
Wanakimbia njaa wapi wakati wameshawaona mnapenda ushirikina.Mkuu njoo umuone huyu anatwambia et sisi tumejaza waganga huku hahahaha wakati hawa waganga wanakimbia njaa huko kwao mikoani!!
Hahaha kwani nadanganya?Hahahaa! Hiyo ndio shida sasa kila kitu hamkifanyi watu wa dsm. Basi sawa.
Eti we kadada hahahaa.
Huduma hizo hatuzitaki sisi, huduma hizo wanazitaka watu wanaotoka huko huko kwasababu hawawezi kuacha asili yao ndo mana hao mababu wamewasogezea Huduma karibu.Wanakimbia njaa wapi wakati wameshawaona mnapenda ushirikina.
Unadhani msingekuwa mnataka huduma zao wangejazana huko.
Mkuu hilo jina vipi kwanza.Wakati wa kula mahindi kwa ndimu na pilipili bado huko Dar??
Ndio mana ukawepo ili mvunjike mbavu.Huduma hizo hatuzitaki sisi, huduma hizo wanazitaka watu wanaotoka huko huko kwasababu hawawezi kuacha asili yao ndo mana hao mababu wamewasogezea Huduma karibu.
Dooh!!
Nimecheka sana hata uchovu wa kazi wote umenitoka
Huu uzi unaweza vunja mbavu huu.
a ha ha haWanawake Wa dar wavaa madela bila chupi
Limefanyaje mkuu?Mkuu hilo jina vipi kwanza.
Ndio mana ukawepo ili mvunjike mbavu.
Sasa hao unaosema wanatoka huku sio ndio wameshakuwa wakazi wenzenu wa huko dsm.
Hivyo wewe Dam55 umezaliwa huko dsm ama mana nijuavyo asilimia kubwa ya wakazi wa huko wametokea mikoani.
Nadhani Magu bado hajakufikia mkuu!!Limefanyaje mkuu?
Mi najua ukishakuwa mkazi wa dsm ushamba wote unaondoka kumbe sivyo.Basi huko washamba ni wengi aisee.Sawa ni wakazi wenzetu ila ndo wasituhusishe sisi na huo ushamba wao, wa kushikiwa akili.
Hahaha kadada Mimi sijatokea huko mikoani kabisaa.!!
Sawa najua huwezi kuacha kukufagilia kwenu.Mi najua ukishakuwa mkazi wa dsm ushamba wote unaondoka kumbe sivyo.Basi huko washamba ni wengi aisee.
Hongera basi ila nionavyo mikoani kuko bomba zaidi ukubali ukatae