Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Ukiwa mbabe ni unapeta tu mkuu jamaa hawapendi kutumia nguvu na akili wao wapo tu


Labda huijui Dar unaiona kwenye magazeti tu. Bila kutumia akili Dar lazima urudi kwenu Namabengo, uliza chanzo cha Dar kuitwa Bongo ni nini?
 
Hahahaaa tutake radhi mkuu, sisi wanaume wa dar ni mashababi, nyie washamba wa mikoani kazi yenu kulima ili sisi wa mjini tule
Mkuu umemaliza kabisa, hawa wa mikoani kila kukicha wanalalamika wanachelewa kufikisha mazao yao Dar kwa sababu barabara zinaharibika mvua zikinyesha. Bei ya mazao yao tunawapangia sisi. Story zao kila siku ohh chips na pepsi, hayo magunia ya mahindi, maharagwe, nk huwa tunapeleka wapi. Mkoani ni mkoani tu, Dar ni ndogo kuliko mikoa yote lakini ndio ina idadi kubwa ya wakazi....
 
Sasa toka lin boss atakua sawa na kijakaz wake?
Jinsia ya tatu imegundulika Dar,.. Kuna wanaume ambao utawapata mikoani, kuna wanawake, na vijidume/ke ambao wanapatikana Dar pekee.... Wazee wa kidumu
 
Dar ya zamani hiyo ndg yangu.... Mwenye hela yuko Shamba anakula anavuta oxygen saaaafi,... Na hesabu zinaingia... Dar ni shida.
Sawa wanaume wa kutinda nyusi,... Wazee wa bikini... [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ile tabia yako ya kulegeza macho umeiacha?
Ndio sifa za wapambanaji... Wa mkoani Hakuna anayeishi kwa shemeji... Wabishi.
Ndio sifa za wapambanaji... Wa mkoani Hakuna anayeishi kwa shemeji... Wabishi.
Jinsia ya tatu imegundulika Dar,.. Kuna wanaume ambao utawapata mikoani, kuna wanawake, na vijidume/ke ambao wanapatikana Dar pekee.... Wazee wa kidumu
Ha ha ha ha be Blessed Bro!!
 
Nasikia kipindi hiki ngiri wanatoroka sana mbugani
 
Kimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
Kuna jamaa wa chet feki karudi toka dar kila saa kujikunyata tu
 
Back
Top Bottom