federicofernandez
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 578
- 392
Kalime ulete mahindi, kumbe ndio maana unga unapanda nyie mnaotakiwa mlete mahind mnakuja kushangaa watu wanaovaa masweta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar ya zamani hiyo ndg yangu.... Mwenye hela yuko Shamba anakula anavuta oxygen saaaafi,... Na hesabu zinaingia... Dar ni shida.Umeona enhee wanapiga kelele Wakat wakipata likizo tu simu haziish wanataka waje mjin
Ukiwa mbabe ni unapeta tu mkuu jamaa hawapendi kutumia nguvu na akili wao wapo tu
Sawa wanaume wa kutinda nyusi,... Wazee wa bikini... [emoji16] [emoji16] [emoji16]Nyie si wapanda milima ndio maana mkija daslam mnasumbua
Mtwala= Mtwaranmepita naelekea zangu Mtwala mie nmetokea kusini.
Ile tabia yako ya kulegeza macho umeiacha?Hiv nyie hamjishangai tukuacha kula chips vile viaz mtamuuzia nan tunafanya Hisan mnaleta jeur shubaaamit
Wazee wa vilainishi mpoooo!?Kwan huko mikoan mna Chanel gan zaid ya TBC jion mnakutana kwa baloz kuangalia
Mkuu umemaliza kabisa, hawa wa mikoani kila kukicha wanalalamika wanachelewa kufikisha mazao yao Dar kwa sababu barabara zinaharibika mvua zikinyesha. Bei ya mazao yao tunawapangia sisi. Story zao kila siku ohh chips na pepsi, hayo magunia ya mahindi, maharagwe, nk huwa tunapeleka wapi. Mkoani ni mkoani tu, Dar ni ndogo kuliko mikoa yote lakini ndio ina idadi kubwa ya wakazi....Hahahaaa tutake radhi mkuu, sisi wanaume wa dar ni mashababi, nyie washamba wa mikoani kazi yenu kulima ili sisi wa mjini tule
Ndio sifa za wapambanaji... Wa mkoani Hakuna anayeishi kwa shemeji... Wabishi.Dah watu wa mikoan mnapenda lig aisee
Jinsia ya tatu imegundulika Dar,.. Kuna wanaume ambao utawapata mikoani, kuna wanawake, na vijidume/ke ambao wanapatikana Dar pekee.... Wazee wa kidumuSasa toka lin boss atakua sawa na kijakaz wake?
Dar ya zamani hiyo ndg yangu.... Mwenye hela yuko Shamba anakula anavuta oxygen saaaafi,... Na hesabu zinaingia... Dar ni shida.
Sawa wanaume wa kutinda nyusi,... Wazee wa bikini... [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ile tabia yako ya kulegeza macho umeiacha?
Ndio sifa za wapambanaji... Wa mkoani Hakuna anayeishi kwa shemeji... Wabishi.
Ndio sifa za wapambanaji... Wa mkoani Hakuna anayeishi kwa shemeji... Wabishi.
Ha ha ha ha be Blessed Bro!!Jinsia ya tatu imegundulika Dar,.. Kuna wanaume ambao utawapata mikoani, kuna wanawake, na vijidume/ke ambao wanapatikana Dar pekee.... Wazee wa kidumu
Kuna jamaa wa chet feki karudi toka dar kila saa kujikunyata tuKimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
Ha aha@Kuna jamaa wa chet feki karudi toka dar kila saa kujikunyata tu
Ndio sifa za wapambanaji... Wa mkoani Hakuna anayeishi kwa shemeji... Wabishi.
Aisee yaani umeongea kweli kabisaDar ukimuona mwanaume anaishi kwa shemeji yake basi ujue huyo ni wa mkoani
Akili za wa TZ hiziDuuuuh mpaka tanzania ya viwanda ipatikane magufuli ana kazi kubwa ya kufanya ,maana c kwa mawazo haya