Kama wewe tu unavyokusifia dsm hata kama unakaa uswahilini.Sawa najua huwezi kuacha kukufagilia kwenu.
Nyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakani.!!
Hahaha si afadhali ya uswahilini kuliko shambani nani anaitaka karaha ya ngedere huko porini we kadada!Kama wewe tu unavyokusifia dsm hata kama unakaa uswahilini.
Hahahaaa
Ila hujajua tu ngedere wanatufanya tusiwe na uoga wa ajabu ajabu sio kama nyie wenzetu huko dar mnao ogopa panya road.Hahaha si afadhali ya uswahilini kuliko shambani nani anaitaka karaha ya ngedere huko porini we kadada!
Daah!
Sawa ila ngedere ni wanyama na hao panya road ni kina nani kwani vile?!!Ila hujajua tu ngedere wanatufanya tusiwe na uoga wa ajabu ajabu sio kama nyie wenzetu huko dar mnao ogopa panya road.
Unajifanya umesahau eee. Kumbuka vizuri utajua ni kitu gani na mlifanya nini siku hao panya road walipomwagika mtaani.Sawa ila ngedere ni wanyama na hao panya road ni kina nani kwani vile?!!
Et waoga!!
Doh! We unafurahisha kweli, ungenijua wala sijui hata kama ungeongea hayo unayosema.Unajifanya umesahau eee. Kumbuka vizuri utajua ni kitu gani na mlifanya nini siku hao panya road walipomwagika mtaani.
Hahahaaa
Dooh! Unaanza kujitoa eeeDoh! We unafurahisha kweli, ungenijua wala sijui hata kama ungeongea hayo unayosema.
Waoga sisi eeh!!!
Kujitoa kivipi, nijitoe dar niende wapi sasa!Dooh! Unaanza kujitoa eee
Hahahaaa! Uje mkoaniKujitoa kivipi, nijitoe dar niende wapi sasa!
Hahahaha kulima mihogo.Hahahaaa! Uje mkoani
Swadaktaaa.!!Watu waoga ni wale wanaoogopa kuja kupambana mjini wanabaki vijijini kupambana na ngedere na kitimoto pori. Mjini shule tosha.
Tunapatamani kuja kuona vituko vyenu na sio kwa kuweka makazi ya kudumu.Hahahaha kulima mihogo.
Karibu wewe kwanza dar, uone radha yake kidogo naamini utachonga mzinga hutatamani tena kurudi kule kupikia magunzi ya mahindi!!
Msijifanye wajanja hapa, dar mnapatamani sana tu.
HahahaaaaSwadaktaaa.!!
Tunapatamani kuja kuona vituko vyenu na sio kwa kuweka makazi ya kudumu.
Kupikia magunzi poa tu kwa sababu mwisho wa siku kinachopikwa kinaiva na kulika.
Mkuu eti ni kweli kuwa ninyi wanawake wa Dar huwa mnavaa madera bila chupi ndani?[emoji30] [emoji30] [emoji30]wakati wa mvua unatembea navyo kwa fashion