Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Yaani unataka tuishi maisha ya shida kisa na mkasa? Wewe huko ushaizoea shida unaonekana, mshazoea kutembea umbali mrefu kwa miguu hata kama uko na gari kisa umekulia huko, Tuache sie wa mjini wenyewe mkija huku mnatoa macho tu[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Hahahaaa , naamini wameelewa
 
Me Najivunia Kuwa Mwanaume wa Dar Aisee Born In Town Yani Tukija Mikoani Videmu vyenu Vinatushobokea Vinalalamika Hamjui Mapenzi Mnawabaka sana MNA Mapenzi ya Kuku
 
Kimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
Haaaaaaaaaa. Hakili zako unazifahamu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…