Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,878
Sio kudeka mkuu! Miili imezoea hali ya joto! Ni biolojia ya kawaida tu mbonaMnadeka sana tatizooo banaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kudeka mkuu! Miili imezoea hali ya joto! Ni biolojia ya kawaida tu mbonaMnadeka sana tatizooo banaa
Kuchek afya kwanini?Umeenda kuchek afya yako?
Hahahaaa , naamini wameelewaMkuu umemaliza kabisa, hawa wa mikoani kila kukicha wanalalamika wanachelewa kufikisha mazao yao Dar kwa sababu barabara zinaharibika mvua zikinyesha. Bei ya mazao yao tunawapangia sisi. Story zao kila siku ohh chips na pepsi, hayo magunia ya mahindi, maharagwe, nk huwa tunapeleka wapi. Mkoani ni mkoani tu, Dar ni ndogo kuliko mikoa yote lakini ndio ina idadi kubwa ya wakazi....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwan huko mikoan mna Chanel gan zaid ya TBC jion mnakutana kwa baloz kuangalia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kalime ulete mahindi, kumbe ndio maana unga unapanda nyie mnaotakiwa mlete mahind mnakuja kushangaa watu wanaovaa masweta
Haaaaaaaaaa. Hakili zako unazifahamu mwenyeweKimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
Wadalisalamu wakali kweliSasa kama upo mkoani umeyajuaje yote hayo.
Hebu waache wavae kwa sababu sidhani kama unaathirika na kitu.