Loafer tanzania
Senior Member
- Apr 28, 2017
- 162
- 184
- Thread starter
-
- #21
Maisha yenu ya ajabu ajabu.. Wanaume wanavaa skin jeans za kike nani ayatamani... wala siyatamani..Mwanaume wa mkoani Acha wivu nakuona unavyotamani ungezaliwa Dar Es Salaam.
mimi nmewaona... Wengi wao wapo softiiiii na laini..Ukiwa mbabe ni unapeta tu mkuu jamaa hawapendi kutumia nguvu na akili wao wapo tu
umewaona wapi rafiki na wewe upo mikoani?Kimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
Na usiku tunalala na soksi na blangeti la manyoanyoa juu!Asubuhi tunaoga maji ya moto, hatupendi shida sisi, shida tumewachia nyie wa mikoani
Jifunze kuandika basi mtwala ndio wapi?nmepita naelekea zangu Mtwala mie nmetokea kusini.
Nimepita naelekea Mtwala kaka.. Nmewaona barabarani...umewaona wapi rafiki na wewe upo mikoani?
Mkuu nasikia wanaume wa dar siku hizi ata kazi hawafanyi... Wanasutana kama wadada...afu nyie wakaz wa mikoani... badala mda huu... mkalime... mnasumbua huku... huku ni kwa ajili ya watu wa dar tu... nyie kalimen mtu letee chakula watu wa mjini
Ha ha ha mwanahume watu wa mkoan hata kuandika tu shidaMkuu kwani wewe ni Mwanahume?
Sasa kama upo mkoani umeyajuaje yote hayo.
Hebu waache wavae kwa sababu sidhani kama unaathirika na kitu.
Nawahulumia sana.. Mkija Njombe si mtakufa nyie watu wa Dar..Na usiku tunalala na soksi na blangeti la manyoanyoa juu!
Ha habha ha ha dah watu mna makusud na inhaler juuna tunavaa rain boot pia na tunatembea na kile kidude cha kuvuta kwa ajili ya kifua
Kwa hiyo hapo ulipo nawewe una sweta au koti?Nimefurahi ulivyotutetea kwa hisia, asante sana.
ila hata mie jana nilimuona mmoja bank ana shirt yumkini na vest ndani , then ana sweta na juu kaweka koti!! ajabu alikuwa anatoka jasho leso imelowa ile mbaya! Dar yetu hiyoooafu nyie wakaz wa mikoani... badala mda huu... mkalime... mnasumbua huku... huku ni kwa ajili ya watu wa dar tu... nyie kalimen mtu letee chakula watu wa mjini
Usinambie watu wa Dar mna Asthma!!na tunavaa rain boot pia na tunatembea na kile kidude cha kuvuta kwa ajili ya kifua
ndiyo tushaamuaNawahulumia sana.. Mkija Njombe si mtakufa nyie watu wa Dar..
Ulamwihe yuveNawahulumia sana.. Mkija Njombe si mtakufa nyie watu wa Dar..
wakati wa mvua unatembea navyo kwa fashionUsinambie watu wa Dar mna Asthma!!