Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Na wewe una koti saa hizi hapo ulipo. Daah hamtakagi shida wenyewe.Ha ha ha mwanahume watu wa mkoan hata kuandika tu shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe una koti saa hizi hapo ulipo. Daah hamtakagi shida wenyewe.Ha ha ha mwanahume watu wa mkoan hata kuandika tu shida
Na mimi nimeona..Maisha yao hayana tofauti kati ya mwanamke na mwanaume wote wanafanana sasa sijui kama wanawafikishana
Oooh.. Poleni sana.. Karibuni mkoani huku maisha mazuli sanawakati wa mvua unatembea navyo kwa fashion
Kwa hiyo hapo ulipo nawewe una sweta au koti?
Bonge la koti tena lile refu mpaka chini kama niko RussiaNa wewe una koti saa hizi hapo ulipo. Daah hamtakagi shida wenyewe.
Poleni sana watu wa Daslamu..Hivi nyie wa mikoani hamkomi tuueeee... Kwenye Uzi ule mwingine mmekimbia mmekuja kuanzisha mwingine.... Ngoja tumalize pilikapilika za hapa bongo halafu tuwagonge tena... Naona bado mnaham.
Kwa mfano nahamia Dar kutoka mkoani na mke wangu, nasi tutakuwa wananihii wa Dar?Wanawake Wa dar wavaa madela bila chupi
Wanawake Wa dar wavaa madela bila chupi
Endelea kutuhulumia hvo hvoNawahulumia sana.. Mkija Njombe si mtakufa nyie watu wa Dar..
"inhela"na tunavaa rain boot pia na tunatembea na kile kidude cha kuvuta kwa ajili ya kifua
Khaa! Unachohofia haswa?Bonge la koti tena lile refu mpaka chini kama niko Russia
Barid kali sana aisee maana tuliyanunua Sasa yamepatiwa nafasiKhaa! Unachoofia haswa?
Pole PaplikaMiili yetu haijazoea baridi... Ko msitushangae!!! Mimi miaka kadhaa nyuma niliwai enda mbeya mwezi wa sita, wiki mbili tu ikabidi wanirudishe Dar, nilipata pneumonia [emoji23][emoji23][emoji23]... Nikaenda tena mwezi wa joto wenzangu wanavaa visinglet mimi navaa likoti hilooo sababu ya baridi.
Ila sasa ivi mwili wangu ushazoea baridi... Nilivyorudi Tz nikawa naona joto kali sana...
Kweli mnapenda afya zenuMara ya mwisho kuwa na sweta ilikuwa Mwaka 2000, toka hapo sijawahi tena kumiliki sweta.
Koti sijavaa leo, ila ningetamani kweli kupigilia koti.
Mje huku mkoani basi ili myatumie ipasavyo. Sio huko hadi mnakuwa na hamu nayo.Barid kali sana aisee maana tuliyanunua Sasa yamepatiwa nafasi
mkuu ndiyo unataka kunipa hela au?"inhela"
Nikija mkoan ntakua sjui hata kuandika kiswahili?Mje huku mkoani basi ili myatumie ipasavyo. Sio huko hadi mnakuwa na hamu nayo.