Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nyie wa dar mmezidi kushangazaSasa kinachokufanya ushangae hapo ni nini, mbona nyie mkija dar mijasho inawatoka inawatiririka hadi mikononi kwenye daladala mnawadondoshea abiria wenzenu, mnatukalia matumbo wazi, hadi wengine utasikia wanasema huu mji hawauwezi bora warudi mikoani kwao. Mbona sisi tunawachukulia kawaida tu tunajua hii hali hamjazoea
Paplika ni nini mkuu? ??Pole Paplika
ndiyo mkuuHahahaha, kwaiyo na we fastaa ukajua fursa imejitokeza!!
Kwan wewe hupend afya yako?Kwa baridi gani sasa. Kweli mnapenda afya zenu.
me sina mkuu ila naona watu wanavyoWewe utakuwa una pumu wewe
Wanapenda sana mambo mazuri ya dar ndo mana kila siku kelele haziishi.Nan akuletee kwa dharau hizo?
Umeona enhee wanapiga kelele Wakat wakipata likizo tu simu haziish wanataka waje mjinWa napenda sana mambo mazuri ya dar ndo mana kila siku kelele haziishi.
Dharau wapi wakati ndio ukweliNan akuletee kwa dharau hizo?
Si jina la hudo dada.. Nmependa kweli picha yake..Paplika ni nini mkuu? ??
Tunazungumzia mnavyovaa hayo makoti jamani kuja mjini ni muhimu kwa sababu hakuna asiyependa kubadilisha mazingira.Umeona enhee wanapiga kelele Wakat wakipata likizo tu simu haziish wanataka waje mjin
Anaitwa Paprika sio paplika. Njoo Dar nitakupeleka kwakeSi jina la hudo dada.. Nmependa kweli picha yake..
Tusipoyavaa kipindi hiki tutayavaa liniKimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
Kwan hayo mazingira mnabadilishia daslam kila siku c muwe mnahama mkoa mmoja kwenda mwengneTunazungumzia mnavyovaa hayo makoti jamani kuja mjini ni muhimu kwa sababu hakuna asiyependa kubadilisha mazingira.
Hatutaki. Tutakuja huko huko mpaka mwenye mji atukataze.Kwan hayo mazingira mnabadilishia daslam kila siku c muwe mnahama mkoa mmoja kwenda mwengne
Kimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
Basi mtuache na daslam yetu nyie mnafuata nn huku?Dharau wapi wakati ndio ukweli