Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Hivi nyie wa mikoani hamkomi tuueeee... Kwenye Uzi ule mwingine mmekimbia mmekuja kuanzisha mwingine.... Ngoja tumalize pilikapilika za hapa bongo halafu tuwagonge tena... Naona bado mnaham.
 
Kwa hiyo hapo ulipo nawewe una sweta au koti?

Mara ya mwisho kuwa na sweta ilikuwa Mwaka 2000, toka hapo sijawahi tena kumiliki sweta.

Koti sijavaa leo, ila ningetamani kweli kupigilia koti.
 
Miili yetu haijazoea baridi... Ko msitushangae!!! Mimi miaka kadhaa nyuma niliwai enda mbeya mwezi wa sita, wiki mbili tu ikabidi wanirudishe Dar, nilipata pneumonia [emoji23][emoji23][emoji23]... Nikaenda tena mwezi wa joto wenzangu wanavaa visinglet mimi navaa likoti hilooo sababu ya baridi.
Ila sasa ivi mwili wangu ushazoea baridi... Nilivyorudi Tz nikawa naona joto kali sana...
 
Hivi nyie wa mikoani hamkomi tuueeee... Kwenye Uzi ule mwingine mmekimbia mmekuja kuanzisha mwingine.... Ngoja tumalize pilikapilika za hapa bongo halafu tuwagonge tena... Naona bado mnaham.
Poleni sana watu wa Daslamu..
 
Miili yetu haijazoea baridi... Ko msitushangae!!! Mimi miaka kadhaa nyuma niliwai enda mbeya mwezi wa sita, wiki mbili tu ikabidi wanirudishe Dar, nilipata pneumonia [emoji23][emoji23][emoji23]... Nikaenda tena mwezi wa joto wenzangu wanavaa visinglet mimi navaa likoti hilooo sababu ya baridi.
Ila sasa ivi mwili wangu ushazoea baridi... Nilivyorudi Tz nikawa naona joto kali sana...
Pole Paplika
 
Dar panapendwa sana hadi watu wivu unawasumbua namna hiyo.!
Hamieni dar tu mana hamna namna sasa
Yanini mteseke bure.?
 
Back
Top Bottom