Wanaume na wanawake wasiopenda kujipiga selfie wana sura mbaya

Wanaume na wanawake wasiopenda kujipiga selfie wana sura mbaya

ziba

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
474
Reaction score
546
Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.

Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
 
Wakati mwingine jaribu kuficha Upumbavu wako. ,mtu mwenye sura mbaya anakuwaje?

Sent from my SM-P555 using JamiiForums mobile app
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Lol, karibu mjini mtoa mada.

Ekotiteeeeeeee[emoji328]

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
 
Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.

Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Hivi uwa mnawaza nini?tuwekee yako tuone.
 
Kama wewe ni mwanaume halafu unajivunia sura yako nzuri basi wewe sio riziki. Na kama wewe ni -ke nani kakwambia wanaume wanatafuta sura peke yake?

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] cha arusha weed on POINT.
 
Huwa unatumia vigezo gani ku determine hii ni sura nzuri na hii ni sura mbaya? Mind you that the beauty lies on the eyes of the beholder.....yawezekana huyu kwa muono wako ni mzuri kwangu ni mbaya and vise versa is true.
 
Siku nyingine tumiaga ubongo sio vitu vingine.

Sent from my Z5 Premium using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom