Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Aisee, mbona kuna tafiti nyingine inasema wanaopenda selfie ndo wanaoongoza kwa Upweke, au hii ni ya TUSIOWEZA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoa mada hakujiandaa kwa hiliHarmorapa anapenda sana selfie
Mkuu povu limekutokaWakati mwingine jaribu kuficha Upumbavu wako. ,mtu mwenye sura mbaya anakuwaje?
Sent from my SM-P555 using JamiiForums mobile app
Bora hata ungesema kupiga picha. Siyo kila mtu anapenda kupiga picha (kuuza sura) kwa sababu zake. Lkn mambo ya kupiga selfie ni ugonjwa tena (addiction), wanaoipiga selfie hasa watu weusi siyo wazima. Fanya kazi, uzuri waachie dada zako. Unataka uj*zwe?Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.
Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
salute mzee wa ushirombo...Nilikua najiridhisha kwanza kwa kupitia mabandiko yako....[emoji2] [emoji2]
Basi sawa....
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
We Mwanaume wa wapi Mkuu???Wanaume wa dar bwana akili zao wanazijua wenyewe
km Mungu ana sura km yangu basi Mungu ni mbaya sanaKila mtu aliumbwa kwa sura na mfano wa mungu..
Wewe husomi vitabu vya mungu.
Salute ikurejee comrade...salute mzee wa ushirombo...
hivi mwanaume ili aitwe mwanaume na awe na tabia za kiume ni kuanzia umri gani?
na awe vipi.
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Salute ikurejee comrade...
Kuwa mwanaume ni lazima kiungo kidogo cha katikati ya mapaja kiwe na uwezo wa kuwakigumu, kila panapo tokea ujazo wa damu na ushirikiano wa akili.
Kuwa na tabia za kiume, hii inategemeana na malezi pia makuzi ya mazingira.
Umri bilashaka unaujua kwenye tofauti ya wavulana na wanaume...[emoji2] [emoji2]
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Harmorapa anapenda sana selfie