Wanaume na wanawake wasiopenda kujipiga selfie wana sura mbaya

Wanaume na wanawake wasiopenda kujipiga selfie wana sura mbaya

Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.

Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Huna busara hata chembe dogo. Yani kwako selfie ni kitu muhimu sana eti! Huu ni ushamba utokanao na kupata smartphone ukubwani.
 
Mwanaume kamili hana mambo ya ajabu ajabu kama haya
Siyo rizki wewe

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.

Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Kwani wamekulazimisha kitu?
 
Mada za siku hizi JF.....zinakufanya uone hata uvivu kuingia jukwaani....
 
Dude,it aint abt being ugly or what,its all abt love bro,what keeps people going,..u dont tell ua brother n sister kwamba et ni wabaya.soo what! Kama we ni mzuri its okay good for u bro,nobody created mwenyew ,be humble,ts like telin ua parents kua ,yoo mbona nyie maskin sana etc,..it is what it is,..men hu talk/think like u r mostly probably gay,..
 
Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.

Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Ndio nyie kutwa kwenye vioo kujichk makalio .....shaur yako mjin hapa

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Dah.... Eti mwanaume mzima na kengele zako mbili unajiselfie.... Unauza nini Hasa? [emoji13] [emoji13]

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
Natamani nikutukane bahati yako sheria inanizuia

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.

Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
Wewe mzuri[emoji35] [emoji35] [emoji35] ???
 
Nyie vijana nyie....kazi ipo,
Ss unataka kwenye simu yangu nijaze mapicha picha ili iweje ss,

Selfie inapigwa kwa wakat maalum...eneo maalum na mtu maalum,

Usikute ww ndo unashinda na simu 24/7 lkn ukiuliza inakuingizia kias gani hujui.....poleh.

Endelea na selfie dogo.
 
Mimi ni kati ya wale wenye aura mbaya maana sipendi picha kabisa, simu yangu ipo na picha za maua na image tu

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom