[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Wakati mwingine jaribu kuficha Upumbavu wako. ,mtu mwenye sura mbaya anakuwaje?
Sent from my SM-P555 using JamiiForums mobile app
Wangejua!Mimi sipendi..nilikuwa sijui kumbe sura zetu mbaya ndio sababu
ahsante kwa taarifa
Wangejua!
Hivi uwa mnawaza nini?tuwekee yako tuone.Huu ndiyo ukweli wanawake na wanaume wasiopenda kupiga selfie wanasura mbaya, hawajipendi, hajiamini pia hawapendi kuona sura zao maana ni mbaya na hazina mvuto.
Usitokwe povu huu ndiyo ukweli.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] cha arusha weed on POINT.Kama wewe ni mwanaume halafu unajivunia sura yako nzuri basi wewe sio riziki. Na kama wewe ni -ke nani kakwambia wanaume wanatafuta sura peke yake?
Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app