Wanaume na Wasichana wa Kazi za Ndani

Status
Not open for further replies.
...Lol, hata aletwe akiwa na sifa duni kiasi gani, mikate na siagi haiongopi!..baada ya 'siku mbili tatu' huyoo vishavu na makalio yanaanza kuongezeka... atapendeza na kuvutia tu labda aajiriwe 'mlokole!' 😀
tena walokole ndo usiseme me sitaki hata kuwasikia
 
Sebastian Ndege aliwahi kurusha kipindi kimoja clouds, binti aliyekuwa anafanya kazi za ndani O'bay alitembea na baba pamoja na watoto wawili wa huyo baba then binti akapata ukimwi. Wakati kipindi kinarushwa huyo baba alikuwa ameshakufa.
jamani wadogo zetu hasa wa kiume wengi wanajifunzia aga kwa hawa mahouse gal me jana nimekuta mdogo wangu wa mwisho na hous gal wetu tena bila kinga jamani jamani! naumia
 
jamani wadogo zetu hasa wa kiume wengi wanajifunzia aga kwa hawa mahouse gal me jana nimekuta mdogo wangu wa mwisho na hous gal wetu tena bila kinga jamani jamani! naumia
kuna familia moja walikanyaga nyaya kutoka kwa HG baba mtu akampa na mama, mtoto wa kiume na house boy kumbe yule HG alikuwa baamedi Kilosa baada ya kukanyaga nyawa akakimbia akaja Dar akawa anawatega wakaingia line nyumba nzima ilipukutika
 
jamani wadogo zetu hasa wa kiume wengi wanajifunzia aga kwa hawa mahouse gal me jana nimekuta mdogo wangu wa mwisho na hous gal wetu tena bila kinga jamani jamani! Naumia

ulijuaje kama hawakutumia kinga?
 
wewe kweli mwanaume na mkeo ana kila sbbu ya kujisifia maana wengine wasinge weza kuvumilia
 
jamani nimewakuta live kutu nje ndani hapo si ningeona kondom?

Labda waliitumbukizaza kupoteza ushahidi, utajuaje? Na wewe kwanini unapenda kupiga chabo wenzio?
 
Labda waliitumbukizaza kupoteza ushahidi, utajuaje? Na wewe kwanini unapenda kupiga chabo wenzio?
sikupiga chabo nilipita mlango wa nyuma mana mbele niligonga nona sifunguliwi sas nikajua labda dada kalala ngoja nikagonge kwa mlango wa nyuma atanisikia ndo kufika mlangoni nikakutauko wazi na jikoni kuna miguno ya ajabu mweh! wakakurupuka
 
wewe kweli mwanaume na mkeo ana kila sbbu ya kujisifia maana wengine wasinge weza kuvumilia
mie mwenyewe uwa nakosa uzalendo sema nilishaapa kuwa siwezi kula HG wangu maana maasi yote nayofanya sitaki kumpa wife nafasi ajue na nikila HG lazima atajua ndio maana nilichunia ila roho iliniuma sana
 
sikupiga chabo nilipita mlango wa nyuma mana mbele niligonga nona sifunguliwi sas nikajua labda dada kalala ngoja nikagonge kwa mlango wa nyuma atanisikia ndo kufika mlangoni nikakutauko wazi na jikoni kuna miguno ya ajabu mweh! wakakurupuka
ulichukua hatua gani? (udaku)
 
sikupiga chabo nilipita mlango wa nyuma mana mbele niligonga nona sifunguliwi sas nikajua labda dada kalala ngoja nikagonge kwa mlango wa nyuma atanisikia ndo kufika mlangoni nikakutauko wazi na jikoni kuna miguno ya ajabu mweh! wakakurupuka
Unaona sasa? Kama ulisikia miguno, halafu wakakurupuka, ulijuaje kama hawakutumia kinga?
 
sikupiga chabo nilipita mlango wa nyuma mana mbele niligonga nona sifunguliwi sas nikajua labda dada kalala ngoja nikagonge kwa mlango wa nyuma atanisikia ndo kufika mlangoni nikakutauko wazi na jikoni kuna miguno ya ajabu mweh! wakakurupuka

Sasa tuamini lipi kati ya posts hizi mbili?
 
mmh! me nilidhani we jasiri kumbe mmh! haya nimemkanya mdogo wangu na kumwambia akiendelea na mwambia mama na baba na pia house gal nimemwabia akiendelea namfukuzisha kazi kwa kumwambia mama wamesma hawatarudia japo sijui kama ni kweli ila naumia kwa mdogo wangu ndo ame balehe bado mdogo jamani huyo Hg anamkuza duh! inaniuma
 
Sasa hutaki mdogo wako aonyeshe urijali wake? Unataka mtarimbo wake ulale doro?
 
Kuepuka haya, jaribu yafuatayo: 1. toa uhuru kwa mdogo wako wa kiume - mtoto wa kiume hatakiwi kukaa kaa ndani; 2. toa penzi kwa mumeo kama ulivyoelekezwa kwenye semina ya ndoa au kitchen party ingawaje maelekezo mengine ya kitcheni party in ya ovyo; 3. mke usimwachie housegirl kila kitu amfanyie mumeo, watamalizia tu; 4. wewe baba ujue maana ya ndoa na familia; 5. tujue kuwa hawa ma-housegirl ni opportunists wako tayari kupindua - mke usitoe nafasi hiyo; 5. pia wanaonekana ni wachafu; 6. wanawake wa UWT msifuate ushauri wa mwenyekiti, Sophia Simba, wa UWT wa kumnyima unyumba mmeo kama si mwana CCM (TanzaniaDaima 21/06/10) kwani waume zenu wataishia kwa ma-housegirl na machangudoa Ohio.
 
1.gs hapo kwenye red pako sawa?
2.mchezo wa kuonja mahouse girl haufai kabisa.
3.house girl akikolea anaweza mwekea sumu mkeo.
4.nawashauri muwaeleze(najua hapa jf hawapo wanaume kama hao) wale wote wenye tabia hii waache ni hatari kuliko maelezo

Umeongea hoja ya msingi sana Tall.HG akishakolea anaweza fanya chochote kwa mkeo..Kwa kweli wanaume mnatakiwa kutafakari kwa kina..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…