Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuzima nayo inaleta tafsiri mbaya ila usiwe busy sana na simu. Inakera sana.
Lol! Si bora alikua busy na simu,kuna mwingine nusu ya muda anaongelea ex wake,robo anajiongelea mafanikio yake na hiyo robo iliyobaki nusu yake anaongelea chadema na nusu unakua unachomekea vicheko! Kazi!
Watu akili hazifanani mjue. Jamaa utakuta wala hajui kuwa anafanya makosa.
Kuna watu huwa wanatabia za kimbwiga mbwiga kwenye dating kama ya huyo na kuzidi huyo.