CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
Wanaume,
Siyo kila mtu katika sehemu yako ya kazi ni rafiki yako. Fanya kazi yako. Pokea malipo yako. Rudi nyumbani. Wenzako wa kazini si marafiki zako.
Kila mtu yupo pale kwa sababu ya kipato. Pesa zinapohusika, watu husalitiana .
Usiwe mzungumzaji sana. Fanya kazi yako na rudi nyumbani.
Usijishirikishe kwenye minyororo ya umbea.
Unaweza kuwa maarufu sana kazini kwako, lakini ukifutwa kazi leo, hakuna mtu kazini atakayekupigia simu baada ya wiki mbili.
-Epuka umbea.
-Usijisifu.
-Fanya kazi yako.
-Pokea mshahara wako.
-Rudi nyumbani.
-Tunza maisha yako binafsi.
-Acha kuwaambia mabosi wako mambo yasiyo na maana kuhusu wafanyakazi wenzako.
Fanya kile unacholipwa kufanya, halafu rudi nyumbani.
Rudi nyumbani ndugu, maana usiku huja na giza lake.
Darasa limefungwa.