Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ingekua me na ke asineshangaa, ladba amekuta me&me wameshikana mikono! wtfMke na mmeee
Pole kwa ban mama la mamaMke na mmeee
Wanaume mnatembeaje mmeshikana mikononi Doh![emoji23] [emoji134][emoji125][emoji125][emoji125]
Nimekutana nayo sasa hivi maeneo ya mikocheni,nimeshangaa sana,inabidi ukizaa mtoto wako wakiume umpeleke hata kenya akaishi huko
Kipi cha ajabu hapooo....? Oooooh kumbe ni Dar sawa...!!!!
Haya sasa wanaume eenh [emoji23]
Inasikitisha sanaLeo niwe upande wako tu..ni maajabu kweli hayo,nadhani mda umefika sasa mimi kuhama dasilamuu haha
Shida hakuweka PiChaWhat if kama mmoja wao no mgonjwa na anasaidiwa kutembea? Ila aliyewaona anajua zaidi. Point in kuwa tusiconclude kila kitu kwa ushahidi wa upande mmoja.
Wanaume mnatembeaje mmeshikana mikononi Doh![emoji23] [emoji134][emoji125][emoji125][emoji125]
Nimekutana nayo sasa hivi maeneo ya mikocheni,nimeshangaa sana,inabidi ukizaa mtoto wako wakiume umpeleke hata kenya akaishi huko
Kushikana mikono, unashikanaje mikono mkatembea na mwanaume mwenzio barabaranitatizo ni hasa??
Wanaume mnatembeaje mmeshikana mikononi Doh![emoji23] [emoji134][emoji125][emoji125][emoji125]
Nimekutana nayo sasa hivi maeneo ya mikocheni,nimeshangaa sana,inabidi ukizaa mtoto wako wakiume umpeleke hata kenya akaishi huko
hahahaa wewe tenaKushikana mikono, unashikanaje mikono mkatembea na mwanaume mwenzio barabarani