Wanaume ndio mmefika huku jaman?

Wanaume ndio mmefika huku jaman?

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,156
Wanaume mnatembeaje mmeshikana mikononi Doh![emoji23] [emoji134][emoji125][emoji125][emoji125]

Nimekutana nayo sasa hivi maeneo ya mikocheni,nimeshangaa sana,inabidi ukizaa mtoto wako wakiume umpeleke hata kenya akaishi huko
 
Kwani kaka mtu na mdogo mtu wakiongozana wameshikana mkono kuna tatizo....
 
Wanaume mnatembeaje mmeshikana mikononi Doh![emoji23] [emoji134][emoji125][emoji125][emoji125]

Nimekutana nayo sasa hivi maeneo ya mikocheni,nimeshangaa sana,inabidi ukizaa mtoto wako wakiume umpeleke hata kenya akaishi huko
Kipi cha ajabu hapooo....? Oooooh kumbe ni Dar sawa...!!!!
Haya sasa wanaume eenh [emoji23]
Leo niwe upande wako tu..ni maajabu kweli hayo,nadhani mda umefika sasa mimi kuhama dasilamuu haha
Inasikitisha sana
images-1.jpeg
images.jpeg
 
Wanaume mnatembeaje mmeshikana mikononi Doh![emoji23] [emoji134][emoji125][emoji125][emoji125]

Nimekutana nayo sasa hivi maeneo ya mikocheni,nimeshangaa sana,inabidi ukizaa mtoto wako wakiume umpeleke hata kenya akaishi huko

Wala usiende mbali, kumbe ni wanaume wa Dar. Kwa kweli unatuvunjia heshima sie wengine, wanaume wa Dar ni vigarasa tu, si ni hawa hapa?
mh.png
ben.jpg
Idris-Sultan-Tanzania-boxers-3-1-.jpg
werawera+146.jpg
 
Wanaume mnatembeaje mmeshikana mikononi Doh![emoji23] [emoji134][emoji125][emoji125][emoji125]

Nimekutana nayo sasa hivi maeneo ya mikocheni,nimeshangaa sana,inabidi ukizaa mtoto wako wakiume umpeleke hata kenya akaishi huko

kritika unatuvunjia heshima, tafadhali ni bora ungesema tu wanaume wa Dar kwenye kichwa cha habari. Kigarasa ni kigarasa tu, no matter what.
 
Back
Top Bottom