Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa tajiri tayari. Akipata ng'ombe Lory mbili na milioni 30 mara idadi ya watoto wa kike!! Mbona atacheka sana ni suala la muda tu. Ila jina la ukoo ndiyo imetoka hiyo.
Nakifahamu, ametumia hali yake kama fursa ya kupiga pesa😂Kuna mwamba Mmarekani kama sikosei anakipindi DStV nimesahau ni steshen namba ngapi yeye na mkewe Wana watoto mapacha kalibia nane au kumi hivi na wamefanana haswa
Ni burudani kuwaangalia kwa kweli
Kwa Pande zetu bongo kwa wasukuma hao wameshaanza kupigiwa hesabu 😃Jamaa tajiri tayari. Akipata ng'ombe Lory mbili na milioni 30 mara idadi ya watoto wa kike!! Mbona atacheka sana ni suala la muda tu. Ila jina la ukoo ndiyo imetoka hiyo.
Noma sana yule mwamba alafu ukimcheki ni kama braza tuu sema kafyatua haswa watoto chataNakifahamu, ametumia hali yake kama fursa ya kupiga pesa😂
Hahaha ila familia kama ile kwa maisha haya ya bongo unaweza ukajinyongaNoma sana yule mwamba alafu ukiwacheki ni kama braza tuu sema kafyatua haswa watoto chata
Hakika mkuuHahaha ila familia kama ile kwa maisha haya ya bongo unaweza ukajinyonga
Ndio maana hata jamaa alitafuta tv deals ili inmsaidie kulea familia 😁
Alafu Mama yao mbona bado mbichi kabisa hii inakuaje ?🤔
Hapo kwa mazoezi nasadiki kiasi flan inasaidia sanaWale wanafanya mazoezi sana mtu wangu
Pia kuna dawa zinaitwa Ozempic
Or yuko natural
Or operation za uturuki
😁
Hapo ingekuwa Shimba ya Buyenze angekuwa anapigia mahesabu ya utajiri🤣🤣Kwa Pande zetu bongo kwa wasukuma hao wameshaanza kupigiwa hesabu 😃